Elsa Marie
JF-Expert Member
- Jul 7, 2017
- 2,284
- 5,596
- Thread starter
-
- #81
Wajishushe na kule barabarani sio kusimamisha watu na wagonjwa wanaowahi matibabuNi kujishusha kujionyesha ni kiongozi wa watu which si jambo baya
Lakin at the same time wana copy nyerere ambae alikuwa hajishushi for show, he meant it
Angeweza kurekebisha huo utaratibu. Kama vipi na kwenye foleni tumpishe sisi hatuna tatizoHuko barabarani haumpishi bali unazuiliwa kupita hivyo si jambo la hiari.
Samia ana namba kwenye jumba la sanaaHIi imenishangaza yaani akili yangu imegoma kuelewa.
Yaani, mtu alikuwa anaelekea kujiandiandikisha kupiga kura, huko barabarani msafara wake umesababisha watu na magari kusimamishwa ili kuruhusu “mheshimiwa awahi” aendako (hili ni la ajabu pia lakini tumeshalizoea hakuna namna ya kulibadilisha kwa sasa)
Kilichonistaajabisha hadi kufikia kuandika huu uzi ni yeye baada ya kufika huko kwenye kujiandikisha eti akapanga foleni, yaani eti aliowakuta hawakumpisha.
Naona kama vile wananchi wamekosa adabu, iweje ushindwe kumpisha mheshimiwa apite mbele wakati huko barabarani watu wamempisha na kusababisha kuchelewa kwenye shughuli zao na wengine wagonjwa wamechelewa kufika hospitali kwa wakati kupata matibabu.
View attachment 3122399
Hoja yako ina mantiki sana,Mimi sina tatizo na kutii mamlaka, nimeshangazwa na hao wapanga foleni kwanini wasimpishe mheshimiwa ahudumiwe haraka kama ambavyo wananchi wengine barabarani walimpisha bila tatizo?
You uave a point, swali hapa nini lengo la kufanya hivyo? Ni geniune respect attention seekingWajishushe na kule barabarani sio kusimamisha watu na wagonjwa wanaowahi matibabu
You are gifted FOOL...nchi na nchi ni falme ambazo ni familia ya Mungu, haziwezi kulingana kwa chochote. Chuki ni pepo linalowaingia viongozi wa nchi hizo na huwa ni ishara ulevi wa madaraka, kiburi na kutokumuheshimi wala kumkufuru Mungu 🐒
🤣 🤣 🤣HIi imenishangaza yaani akili yangu imegoma kuelewa.
Yaani, mtu alikuwa anaelekea kujiandiandikisha kupiga kura, huko barabarani msafara wake umesababisha watu na magari kusimamishwa ili kuruhusu “mheshimiwa awahi” aendako (hili ni la ajabu pia lakini tumeshalizoea hakuna namna ya kulibadilisha kwa sasa)
Kilichonistaajabisha hadi kufikia kuandika huu uzi ni yeye baada ya kufika huko kwenye kujiandikisha eti akapanga foleni, yaani eti aliowakuta hawakumpisha.
Naona kama vile wananchi wamekosa adabu, iweje ushindwe kumpisha mheshimiwa apite mbele wakati huko barabarani watu wamempisha na kusababisha kuchelewa kwenye shughuli zao na wengine wagonjwa wamechelewa kufika hospitali kwa wakati kupata matibabu.
View attachment 3122399
🤣 🤣 🤣Ukosefu wa adabu wa kiwango cha juu. Watanzania hatupo hivyo
Elsa, It is a Royal tour in Bongo movie!!Bongo movie at work
Ukichunguza hapo mbele hao wote unaweza kuta ni TISS - RTDHIi imenishangaza yaani akili yangu imegoma kuelewa.
Yaani, mtu alikuwa anaelekea kujiandiandikisha kupiga kura, huko barabarani msafara wake umesababisha watu na magari kusimamishwa ili kuruhusu “mheshimiwa awahi” aendako (hili ni la ajabu pia lakini tumeshalizoea hakuna namna ya kulibadilisha kwa sasa)
Kilichonistaajabisha hadi kufikia kuandika huu uzi ni yeye baada ya kufika huko kwenye kujiandikisha eti akapanga foleni, yaani eti aliowakuta hawakumpisha.
Naona kama vile wananchi wamekosa adabu, iweje ushindwe kumpisha mheshimiwa apite mbele wakati huko barabarani watu wamempisha na kusababisha kuchelewa kwenye shughuli zao na wengine wagonjwa wamechelewa kufika hospitali kwa wakati kupata matibabu.
View attachment 3122399
Ngoja waje kina luca mashamba watuambie kwamba wote mbele ya mama ni TiThi 🤣🤣🤣HIi imenishangaza yaani akili yangu imegoma kuelewa.
Yaani, mtu alikuwa anaelekea kujiandiandikisha kupiga kura, huko barabarani msafara wake umesababisha watu na magari kusimamishwa ili kuruhusu “mheshimiwa awahi” aendako (hili ni la ajabu pia lakini tumeshalizoea hakuna namna ya kulibadilisha kwa sasa)
Kilichonistaajabisha hadi kufikia kuandika huu uzi ni yeye baada ya kufika huko kwenye kujiandikisha eti akapanga foleni, yaani eti aliowakuta hawakumpisha.
Naona kama vile wananchi wamekosa adabu, iweje ushindwe kumpisha mheshimiwa apite mbele wakati huko barabarani watu wamempisha na kusababisha kuchelewa kwenye shughuli zao na wengine wagonjwa wamechelewa kufika hospitali kwa wakati kupata matibabu.
View attachment 3122399
HIi imenishangaza yaani akili yangu imegoma kuelewa.

ubunifu zero kabisaElsa, It is a Royal tour in Bongo movie!!