LGE2024 Hii ya Samia kupanga foleni kujiandikisha inafikirisha kidogo

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Tatizo hizo "sauti" ambazo uonekana ni za wengi uwa zimepatikana kwa njia ya wizi, hadaa na hata dhuluma ya maisha ya watu. Lakini kwa vile mwenyezi Mungu karidhia hilo basi sawa.
sio zile sauti za kilevi za kuchochea maandamano haramu lakin
 
Umeongea mengi ya maana. Lakini angeenda stright bila kupanga foleni pia angekuwa amehamasisha watu wakajiandikishe.
Hakukuwa na haja ya yeye kupanga foleni wakati huko barabarani hajapanga foleni tumesimamishwa ili tumpishe. Hoja yangu ipo hapo.
 
Hata Mwalimu Nyerere alipanga foleni….. Hakuna jipya hapo.
 
Samia ni drama queen! Anacheza ma-movie hatari... Kwenye Ile royal tour alicheza unyama sana, pigo za kinyamwezi zile...
 
Kitengo na wastaafu wake wote ndo wapo hapo.

Hakuna raia hapo. Igizo limefana sana
 
U
Ukiona inauma ichomoe kimya kimya!
Angepishwa na waliowahi bado Chadema wangelaumu kwa nini asiwahi mapema ili kuwapa nafasi wanachi.
Hamkosi cha kuandika hata kama ni pumba
 
U

Ukiona inauma ichomoe kimya kimya!
Angepishwa na waliowahi bado Chadema wangelaumu kwa nini asiwahi mapema ili kuwapa nafasi wanachi.
Hamkosi cha kuandika hata kama ni pumba
Chadema wanahusikaje hapa? Mimi sina chama
 
Wanawahadaa Watanzania wasiokuwa na uelewa
 
Hakuna cha political science ama political art, Ccm ndio chama Dola na hakihitaji kura kushinda uchaguzi
 
Hapo ndo baadhi ya wapinzani wataambiwa hata kula moja hawajapa sababu hawakujiandikisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…