Hiki ndicho kinachotuponza sisi Yanga. Tuambiane ukweli tu

Ni kweli Yanga tuache kununua mechi inafanya timu yetu iwe dhaifu , maana mashindano ya kimataifa mechi hazinunuliki tutapigwa sana
 
Haujabakiza kitu umesema yoteee mtani..
 
Tangu lini timu bora ina wasiwasi kuingia vitani, mbona Yanga ilipambana ikiwakosa Aucho, Pacome na Yao Yao na iliupiga mwingi tu kule South Africa hadi Makolokolo mlibaki mmeduwaa kama mapaka shume yanayokata roho?

Makolokolo mshukuru mmekutana na vitimu visivyoeleweka ndiyomaana mmefika hapo.
Makolokolo = Kamdomo

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Najua unajua ukweli hilo wala sina shaka nalo....
MR utooo
 
Hivi hao Uto wanaosema Simba iliwakimbia trh 8 huwa siwaelewi??
Kwanini mliwazuia Simba kufanya mazoezi?? Kisa mbuzi?
Mbona supu mnakunywaga?
Buahhahaahhahh leteni timu mtwangwe
Makolokolo mna kamdomo sana.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Sawa mimi ni simba jike. Sasa niambie wewe Fisi Jike. Hata imani zako ni za kifisi fisi tu. Yaani hawa Simba tunawafunga kwa mkapa mpaka 5 halafu watie mkono kwenye matches zetu tushindwe wafunga wapinzani? Ndo mafisi mnavyofikiria? Huu ujinga unalishwa na nani we dogo usiye na elimu? Mpira ni mchezo wa wazi dogo akili za kuambiwa changanya na zako. Nimeona kabisa wewe ni Fisi Jike.
 
Kelele we Makolokolo Mwandamizi, Real Madrid SC na Al Ahal wametolewa kwenye mashindano ya UEFA CL na CAF CL, nao huwa wanalwgezewa miaka yote au ukubwa na ubora wao ulikuwa wa kila mwaka?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Wewe fisi maji hujui mpira dogo. Waachie wenye mpira wata discuss wewe subiri tukiitiwa soup ukanywe.
 
Huna akili.
CAFCCL 2004, Vitoto vya 2000 kuna mahali nyuzi zimekatika kwenye bongo zenu.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Huna akili.
CAFCCL 2004, Vitoto vya 2000 kuna mahali nyuzi zimekatika kwenye bongo zenu.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Kitoto cha 2000s bado unanuka maziwa hata hukuwa umetungwa mimba kipindi mikia wanafika CAF FED fainal unaweza kuta hata mama yako alikuwa hajazaliwa. Nyie madogo mtuheshimu si wengine ni baba zenu. Siyo mpaka mtambulishwe.
 
Tanzania ina someka pale. Huoni mwenzangu?ni sifa kwa Tanzania. Tusiwe na wivu mbaya. Tupambane tu tunaweza.
Mafanikio ya Simba hayaifanyi Yanga iwe top ten ya Club Afrika. Mafanikio ya Simba ni kwa faida yao na timu zinazoshika nafasi ya tatu na nne. Kila timu inabeba mzigo wake. Na ndio wao champions league wanaanzia preliminary stage 2 sisi preliminary stage 1.

Linapokuja swala la club hakuna uzalendo duniani kote. Uzalendo ni kwenye timu ya taifa tu
 
Yuko sahihi, kabla hujazaliwa looser ndiyo neno tulilokuwa tukilitumia sisi Baba zako we Kolowizard.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Hujui hata maana ya looser na loser. Vitoto vya miaka ya 2000s english inawasumbua. Hata dictionary hamjui kusoma. Kipindi sisi tunasoma nyie mlikuwa kwenye korodani mnasubiri tu tuwacheue.😁
 
Kitoto cha 2000s bado unanuka maziwa hata hukuwa umetungwa mimba kipindi mikia wanafika CAF FED fainal unaweza kuta hata mama yako alikuwa hajazaliwa. Nyie madogo mtuheshimu si wengine ni baba zenu. Siyo mpaka mtambulishwe.
Kweli mi ni baba yako, shukuru Mama yako alinishauri nisipige punyeto ndiyomaana ukazaliwa wewe Junior in 2000yrs, mbali na hapo ningekuacha uendelee kuliwa na nguchiro shambani maana ulikuwa ni karanga mbichi hata kiunoni kwangu ulikuwa hujaja.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Mafanikio ya Simba yanatuweka kwenye ramani na sisi tunaheshimika kimataifa. Nasi tunaonekana tupo.
 
Ubora wetu sio kwa ken gold tu hata tukikutana na simba tunauonyesha ndo maana tumewafunga mara nne mfululizo, kutolewa mashindano ya caf ni matokeo tu ya mpira.
 
Mfano ni jana tuu kweny kombe la mliofeli pote pote..zimamoto waliwakazia vibaya mnoo...
Jasho likawatoka...
Na fainali wanachukua wazanzibari....
Mmezoea vya kunyonga
umekiona kikosi kilichopangwa au unaongea tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…