permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,484
- 15,297
Sio kweli, hivi Yanga angeshiriki shirikisho ni timu ipi ingemtoa? Hii Simba bado mbovu, ingekuwa club bingwa asingekatiza robo fainali.Kocha aliposema ligi yetu ni dhaifu alikuwa anaona matches ambazo tunacheza na teams zinavyolegea na kufanya makosa ya kipuuzi.
Lengo letu ni kuwapiga watu mkono na makono wakati mwingine. Lakini ilikuwa haisaidii team. Tunaona mikia jinsi wanavyokaziwa ndani ya ligi. Inawasaidia hata mashindano ya kimataifa. Mkazo huo ni faida kwao.
Sisi tunapowaambia watulegezee hatujifunzi kukaziwa. Matokeo yake matches ambazo hawatujui tunaumia sana na kuona hatujazoea. Mi nashauri viongozi waikomaze team. Tuache kuwaambia wapinzani walegee tuwafunge nyingi. Ni aibu kwetu.
Ha ha ha.... Kabisa. Hata lile kundi letu tulisema lina team mbovu tukaambulia nafasi ya 3. Huwa tupo hivyo siku zote. Ndo maana nimekusoma nikacheka. Wewe utakuwa mwanayanga damu halafu komandoo wa yanga.🤣Sio kweli, hivi Yanga angeshiriki shirikisho ni timu ipi ingemtoa? Hii Simba bado mbovu, ingekuwa club bingwa asingekatiza robo fainali.
Mwaka jana ulimaliza nafasi ya tatu ukashindwa kushiriki klabu bingwa mwaka huu matokeo yake ukadondokea shirikisho kati ya wewe na Yanga iliyoshiriki klabu bingwa nani mbovu?Ni kweli msimu uliopita simba walikuwa na kikosi kibovu ambacho karibu kila shabiki alikikatia tamaa, lakini cha ajabu wakafika robo kama yanga tu ambao walijisifu wana kikosi bora, matokeo yake wakaishia kulilia kagoli ka mchongo ambacho hadi leo hawana uhakika kama kalikuwa halali au la
Kolo kavaa uyanga.Kocha aliposema ligi yetu ni dhaifu alikuwa anaona matches ambazo tunacheza na teams zinavyolegea na kufanya makosa ya kipuuzi.
Lengo letu ni kuwapiga watu mkono na makono wakati mwingine. Lakini ilikuwa haisaidii team. Tunaona mikia jinsi wanavyokaziwa ndani ya ligi. Inawasaidia hata mashindano ya kimataifa. Mkazo huo ni faida kwao.
Sisi tunapowaambia watulegezee hatujifunzi kukaziwa. Matokeo yake matches ambazo hawatujui tunaumia sana na kuona hatujazoea. Mi nashauri viongozi waikomaze team. Tuache kuwaambia wapinzani walegee tuwafunge nyingi. Ni aibu kwetu.
sababu huwa mnaona wenye akili ni mikia tu ila yanga ni hoya hoya na kama alivyosema msema kweli manara wenye akili ni wawili tu kwetu.Kolo kavaa uyanga.
Yanga kombe la Muungano fainali tumeingia kwa penalty hizo hizo.Mwaka jana ulimaliza nafasi ya tatu ukashindwa kushiriki klabu bingwa mwaka huu matokeo yake ukadondokea shirikisho kati ya wewe na Yanga iliyoshiriki klabu bingwa nani mbovu?
Wewe kupita robo fainali sio maajabu kundi lako halikuwa na timu ngumu kuliko yanga pia hata uko robo fainali ulitoka kwa aibu kwa kuliwa nje ndani na al akhly.
Yanga katolewa kwa penati huku akidhulumiwa goli lake halali kabisa yes ni goli halali kabisa.
Sasa hapo hipi ni timu bora?
Yanga kakufunga mara 4 mfululizo na mara ya tano ukakimbia mechi!
Yanga ndio bingwa mtetezi wa ligi akiwa amechukua mara 3 mfululizo.
Sasa kwa facts hizo simba anaanzaje kuwa bora kuliko yanga?
Na anaenda chukua mara ya 4 sasa kwa hizi hizi teams zetuMwaka jana ulimaliza nafasi ya tatu ukashindwa kushiriki klabu bingwa mwaka huu matokeo yake ukadondokea shirikisho kati ya wewe na Yanga iliyoshiriki klabu bingwa nani mbovu?
Wewe kupita robo fainali sio maajabu kundi lako halikuwa na timu ngumu kuliko yanga pia hata uko robo fainali ulitoka kwa aibu kwa kuliwa nje ndani na al akhly.
Yanga katolewa kwa penati huku akidhulumiwa goli lake halali kabisa yes ni goli halali kabisa.
Sasa hapo hipi ni timu bora?
Yanga kakufunga mara 4 mfululizo na mara ya tano ukakimbia mechi!
Yanga ndio bingwa mtetezi wa ligi akiwa amechukua mara 3 mfululizo.
Sasa kwa facts hizo simba anaanzaje kuwa bora kuliko yanga?
Huo ni uongo mtupu kwamba sisi eti tunawaambia watulegezeeKocha aliposema ligi yetu ni dhaifu alikuwa anaona matches ambazo tunacheza na teams zinavyolegea na kufanya makosa ya kipuuzi.
Lengo letu ni kuwapiga watu mkono na makono wakati mwingine. Lakini ilikuwa haisaidii team. Tunaona mikia jinsi wanavyokaziwa ndani ya ligi. Inawasaidia hata mashindano ya kimataifa. Mkazo huo ni faida kwao.
Sisi tunapowaambia watulegezee hatujifunzi kukaziwa. Matokeo yake matches ambazo hawatujui tunaumia sana na kuona hatujazoea. Mi nashauri viongozi waikomaze team. Tuache kuwaambia wapinzani walegee tuwafunge nyingi. Ni aibu kwetu.
Mbovu ni yule ambaye hakupita katika kundi lake kwenda hatua ya mbele. Kushiriki kwa hii ligi ambayo kocha wetu alisema ni dhaifu inatokea simba ndani anafanya vibaya nje anafanya vizuri umesahau ule msimu mwingine pia waliingia robo sisi tukatupwa CAF fed?Mwaka jana ulimaliza nafasi ya tatu ukashindwa kushiriki klabu bingwa mwaka huu matokeo yake ukadondokea shirikisho kati ya wewe na Yanga iliyoshiriki klabu bingwa nani mbovu?
Wewe kupita robo fainali sio maajabu kundi lako halikuwa na timu ngumu kuliko yanga pia hata uko robo fainali ulitoka kwa aibu kwa kuliwa nje ndani na al akhly.
Yanga katolewa kwa penati huku akidhulumiwa goli lake halali kabisa yes ni goli halali kabisa.
Sasa hapo hipi ni timu bora?
Yanga kakufunga mara 4 mfululizo na mara ya tano ukakimbia mechi!
Yanga ndio bingwa mtetezi wa ligi akiwa amechukua mara 3 mfululizo.
Sasa kwa facts hizo simba anaanzaje kuwa bora kuliko yanga?
Dogo wewe maamuma sisi tupo ndani tunajua.Huo ni uongo mtupu kwamba sidi eti tunawaambia watulegezee
Kama mbovu ni huyu ambaye hakupita kwenye kundi lake.Mbovu ni yule ambaye hakupita katika kundi lake kwenda hatua ya mbele.
Wewe simba hutaki kuchukua?Na anaenda chukua mara ya 4 sasa kwa hizi hizi teams zetu
Tunamwita hakushiriki .huwezi hukumiwa kwa kitu ambacho hukufanya. Una elimu gani?Kama mbovu ni huyu ambaye hakupita kwenye kundi lake.
Yule ambaye hata kushiriki tu hayo makundi hakushiriki tutamwitaje?
Mimi binadamu siyo Simba.Wewe simba hutaki kuchukua?
Ukushiriki kwanini?Tunamwita hakushiriki .huwezi hukumiwa kwa kitu ambacho hukufanya. Una elimu gani?
Jibu swali nyinyi makolo bin mbumbumbu hamtaki kuchukua kombe?Mimi binadamu siyo Simba.
Kocha mzungu wa klabu moja ya ligi kuu tz aliwahi kusema ligi ya bongo ni dhaifu. Hakumaliza kusema kila kitu.Kwa hiyo timu ikiingia kwenye mfumo isipigwe tano? Ulikuwepo wakati wanaomba kulegezewa? Unataka kusema hizo timu haziwezi kufungwa na Yanga?
Yanga ina kikosi kizuri sana na bado itaendelea kuimarika.
Mimi nitashiriki vipi bwana mdogo?wewe ulishiriki?Ukushiriki kwanini?
Kwanini Azam na Yanga washiriki halafu wewe usishiriki?
Ni akina nani hao dogo? Mbona kama umepaniki sana. Umekula mchana?😁Jibu swali nyinyi makolo bin mbumbumbu hamtaki kuchukua kombe?
Acha ushamba kolo bin mbumbumbu.Ni akina nani hao dogo? Mbona kama umepaniki sana. Umekula mchana?😁