Hakuna kunachofanyika zaidi ya kukaririsha hawa watoto maswali na na majibu ili tu wapate A.Kimsingi hizi A za kukaririshwa hazina maana yoyoteMpaka sasa wapo majumbani hao watoto kwa wazazi wanaotoka asubuhi kurudi usiku, mtoto anashinda na beki 3, sijui mtawasimamia muda gani hao watoto. Wakati tunasoma vidato vya mitihani tulibaki shule lakini sasa mnawasikikiza wanasiasa na kuwapangia elimu ya watoto wenu. MUDA UTAONGEA
Ni ujinga wabkupitiza eti watato tena wadogo wanasoma muda mrefu kuliko hata meanafumzi wa Engineering pale chuo kikuuKutoboa nikusoma siku 365?.
Pesa unayo?? Hadi k-12 ada jumla ni usd 100k+ kama ipo mlete mtoto mwezi wa 8 tunapoanza new school yearUmetawaliwa na limtaala libovu la kikoloni.. linawaza mitihani tu...
Hovyo kabisa..
Limtaala hili libadilishwe mapema.
Mi natamani hata wanangu wasije fanya mimitihani hii ya NECTA..
Watoto wadogo mbona wapo mtaani wanachezea matope? Wanafunzi wanaoongelewa ni kidato Cha nne, kidato Cha mtihani siyo watoto Wacha kuchanganya madaNi ujinga wabkupitiza eti watato tena wadogo wanasoma muda mrefu kuliko hata meanafumzi wa Engineering pale chuo kikuu
Ni kweli usemacho ila mfumo wetu wa elimu ndo unataka ivyo, umebase kwnye results tu na sio mwanafunzi amepata nnHakuna kunachofanyika zaidi ya kukaririsha hawa watoto maswali na na majibu ili tu wapate A.Kimsingi hizi A za kukaririshwa hazina maana yoyote
Bro umepiga mulemule, watoto wa hayo maeneo uliyotaja kwa mapenzi wana A za kutosha lakin kusoma ni mtihani mzitoHilo jina utakuwa mtu wa Kusini au pwani au Tanga ambako elimu siyo kipaumbele ndiyo maana hiyo mikoa inashika mkia kwenye mitihani
Kwa mtu aliye nje ya kada ya elimu hata umueleze vip utajichosha bure tu mana hajui tunayoyaona isipokua wanaskia tu wanafunzi 100 wamepata mimba na kuanza kulaumu walimu walikua wapi. LIKIZO INA MAMBO MENGIKijijini atakwenda shambani, mjini atazurura mitaani na mimba zitaongezeka
Wafungue macho na akili ili waweze kuona, hawajui kuna boda boda, bado wanafunzi wenzao, bado mafataki yapo mtaani asee ni changamotoWameenda tunawasubiri July break ya kwanza ni kuwapima mimba hapo Kila mmoja atabeba mzigo wake
Vibanda vya movie uchwara ndizo gesti zao na saluni bubu!Wafungue macho na akili ili waweze kuona, hawajui kuna boda boda, bado wanafunzi wenzao, bado mafataki yapo mtaani asee ni changamoto
Duuu shule gani iyo???Acheni kutetea ujinga na upimbi ,inawezekanaje mtoto wa miaka kumi na moja anapigishwa kwata ya kusoma kuanzia saa kumi na mbili asubui hadi saa tatu usikua kwa siku saba na bado unataka watoto husika wasipewe likizo ?
Tupo Dunia ya utandawazi. Wakati mkenda anasoma studio za kuharibu watoto hazikuwepo, vibanda vya movie havikuwepo, bodaboda hazikuwepo, ushoga na usagaji havikuwepo, simu za kucheza game na kuangalia ngono hazikuwepo, mkenda akirudi likizo anakutana kazi za shambani zinamsubiri na kukatia mifugo ili shule ikifunguliwa iuzwe apate ada ya kurudi shuleni. Unajua ninyi wanasiiasa watoto wenu hawasomi Tanzania, wanasoma mataifa ya nje na likizo kama hizi mnawapeleka tour za kujifunza hivyo hawapumzishi hizo akili mnazotaka watoto wa masikini wapumzishe ili hao watoto wenu waje wawatawale kirahisi kama akina ridhiwani na January makambaSwali rahisi lakujiuliza ni je hao walimu wao hawataki LIKIZO ? Wazazi mkiwa mnaendeshwa na siasa watoto wenu mtawaokota kwenye ZERO NA FOUR … mkenda hakua anarudi LIKIZO.
Kusoma na kwrnda tour kuna fanana kumbe? Sema wazazi wana kwepa majukumu wanatamani hata watoto waishi shulieni milele wao wawe wanatuma tu Ada na Pokey moneyTupo Dunia ya utandawazi. Wakati mkenda anasoma studio za kuharibu watoto hazikuwepo, vibanda vya movie havikuwepo, bodaboda hazikuwepo, ushoga na usagaji havikuwepo, simu za kucheza game na kuangalia ngono hazikuwepo, mkenda akirudi likizo anakutana kazi za shambani zinamsubiri na kukatia mifugo ili shule ikifunguliwa iuzwe apate ada ya kurudi shuleni. Unajua ninyi wanasiiasa watoto wenu hawasomi Tanzania, wanasoma mataifa ya nje na likizo kama hizi mnawapeleka tour za kujifunza hivyo hawapumzishi hizo akili mnazotaka watoto wa masikini wapumzishe ili hao watoto wenu waje wawatawale kirahisi kama akina ridhiwani na January makamba
Wazazi wanakwepa majukunu hakuna cha zero wala Four, Sikiliza Mtoto kama kichwani ni zero ni zero tu atapata hoo four hata aishi DarasaniSwali rahisi lakujiuliza ni je hao walimu wao hawataki LIKIZO ? Wazazi mkiwa mnaendeshwa na siasa watoto wenu mtawaokota kwenye ZERO NA FOUR … mkenda hakua anarudi LIKIZO.
Kma kuna mzazi haelewi unachosema, watakuja kukumbuka haya madini unayowapa baada ya matokeoTupo Dunia ya utandawazi. Wakati mkenda anasoma studio za kuharibu watoto hazikuwepo, vibanda vya movie havikuwepo, bodaboda hazikuwepo, ushoga na usagaji havikuwepo, simu za kucheza game na kuangalia ngono hazikuwepo, mkenda akirudi likizo anakutana kazi za shambani zinamsubiri na kukatia mifugo ili shule ikifunguliwa iuzwe apate ada ya kurudi shuleni. Unajua ninyi wanasiiasa watoto wenu hawasomi Tanzania, wanasoma mataifa ya nje na likizo kama hizi mnawapeleka tour za kujifunza hivyo hawapumzishi hizo akili mnazotaka watoto wa masikini wapumzishe ili hao watoto wenu waje wawatawale kirahisi kama akina ridhiwani na January makamba
Tour ni kujifunza Yale ya darasani kwa vitendo mjomba.Kusoma na kwrnda tour kuna fanana kumbe? Sema wazazi wana kwepa majukumu wanatamani hata watoto waishi shulieni milele wao wawe wanatuma tu Ada na Pokey money
Ujinga haya ni majukumu ya Wazazi, Watoto w Kihindi wao mbona hawapato Mimba? Wazazi wa Kibongo ni wapuuzi sana yaani wanakwepa majukumu ya kulea familia na wamekomaa kusakazia wati wengine,Kwa mtu aliye nje ya kada ya elimu hata umueleze vip utajichosha bure tu mana hajui tunayoyaona isipokua wanaskia tu wanafunzi 100 wamepata mimba na kuanza kulaumu walimu walikua wapi. LIKIZO INA MAMBO MENGI
Bro study tour ni njia mojawapo ya kujifunza kwa kutembelea eneo husika, mfano hata beach unajifunza physical feature nying sana kwa kuzionaKusoma na kwrnda tour kuna fanana kumbe? Sema wazazi wana kwepa majukumu wanatamani hata watoto waishi shulieni milele wao wawe wanatuma tu Ada na Pokey money
Hao kidato cha nne hawapaswi kupumzika? wazazi wanakwepa majukunu ndio maana wanatamani kuwepo na Bording hata ya Watoto wachanga, Ingekuwepi ya Watoto wachanga tungewapeleka Bording kukwepa majukumuWatoto wadogo mbona wapo mtaani wanachezea matope? Wanafunzi wanaoongelewa ni kidato Cha nne, kidato Cha mtihani siyo watoto Wacha kuchanganya mada