Hili tatizo la kukosa usingizi usiku, ninalo peke yangu au?

Mimi nalala nataa ndio maaana usingizi unakata mapema?
 
kutokana na nature yangu huwa nakoss usingizi sana, so daktari aka nambia uki meza Cetirizene 2 Ina upa mwili uchovu wa ghafla.

ila Kama we ni mkosa usingizi pro max, basi piga hizo tramadol 1 & cetirizene 2 nusu saa kabla ya kulala.
iko vizuri mno.
Cetrizen huwa inamezwa 1*1 vinginevyo ni mis use of drugs..Kuna miaka nilipataga depression
Nikawaga silali sipati usingizi kabisa mpaka alfajir ndio usingizi unanijia kidogo hapo hapo natakiwa niamke kuwai mishe..

Zipo dawa za kumeza kukutuliza na kukupa utulivu wa akili na usingizi kabisa 🧐 Sito zitaja kwa sababu ya ethical issues.

Mkuu hata konyagi vizibo viwili vinatosha kukupa usingizi ☺️😊
 
Sawa
 
Nadhan bora nyagi
 
Duh πŸ™„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…