PostGE2025 Hit the Jugular: Je, waandamanaji waliipata wapi hii mbinu ya kijeshi?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Movement ya kitume siyo!..mkatumwa kuchoma moto mali
Ni makosa ya CCM kuwafungia watanganyika miaka 60 wasiandamane, kwahiyo kwa Tanzania, tegemea high intensity kwenye maandamano yeyote kwasababu ya hasira na jazba za kufungiwa. CCM has planted the seed of its own destruction.
 
Danganya wajinga Mimi Kuna wanangu sita wajeda na niliwaona hapo ubungo wengine walikua mbezi wakiwa na raia na Leo wanaendelea na movement zao kama kawaida na mmoja nimetoka kuongea nae mda huu hapa hapa temboni hamna mbwa yeyote aliowasimamisha usifikiri watu wote unaongea nao humu ni wajinga eti unyonge mwanajeshi unachekesha sana wewe ngedere🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Movement ya kitume siyo!..mkatumwa kuchoma moto mali
Na ni ya kitume kweli, kwasababu waandamanaji walitahadharisha kabisa kwamba watachoma vituo vya mafuta, lakini dola ikawa kipofu na CCM kuendeleza kampeni za vitisho.
 
Umetindinganywa unaropoka tu binti endelea ivo ivo tuone wakunyongwa ni walioua au wanajeshi
 
Kuna tatizo kwa idara ya usalama taifa,muajiri vijana wenye weledi,haiwezekani uharibufu mkubwa wa mali na maisha ya watu yatokee bila kuwa na habari au taarifa ya kiintelenjisia. Zuieni tatizo kabla ya kutokea sio kupambana na tatizo liloshatokea
Tatizo la msingi la Tanzania ni CCM usalama wa Taifa una watu viazi sana...

Usalama wa Taifa main focus yao ni Utulivu wa Kisiasa alafu utulivu wenyewe ni namna gani CCM itadeal na upinzani.

Hawaangalii Maslahi ya nchi kabisa, ndio maana ukiingia madarakani ukiwaonga wako tayari kufanya lolote hata kama linaiua hii nchi,

Mfano Wazee wenye weledi walionya Kuwa uchaguzi wa 2025 ni hatari kwa hili Taifa, ila wakakaa kimya.

Now kilichobakia Tanzania ni suply chains za Silaha tu kuanzishwa
 
Mkuu wangu , 29 Oct walioshauri au ratibu ujinga ule ni wapumbavu, kwamba hawakujua nyakati zinabadilika ukizingatia na aya ma mitandao , Afisa mmoja kati ya vyombo vyetu vya ulinzi akaniambia

Bora sie kizazi cha 1990 rudi chini , ukiambiwa na mzazi wako unasikia ila ichi kizazi cha 1990 kwenda juu hakaina cha kupteza ,

Akamalizia kwa kusema hiki ndo kizazi haswa na wajuu wa machief walio pambana na mkoloni , ujasili wa ichi kizazi sio wa kawaida , kwamba anapigwa mmoja risasi na bado wanasonga mbele ,hii ni historia nyingine alisema ,uyu kiongozi .
 
Kuna tatizo kwa idara ya usalama taifa,muajiri vijana wenye weledi,haiwezekani uharibufu mkubwa wa mali na maisha ya watu yatokee bila kuwa na habari au taarifa ya kiintelenjisia. Zuieni tatizo kabla ya kutokea sio kupambana na tatizo liloshatokea
Hakuna usalama wa taifa kuna usalama wa chama tawala.
 
nambie kitu kilifanywa na vijana na kiliashiria mapinduzi?
hakikisha hujavuta bangi kabla ya kujibu hili swali
Umeona duka la nenga tu?..wangejaa ubungo pasipitike, magomeni mapipa,fire na posta kwa muda wa wiki,kingetokea nini?
[/QUOT
 
Yalikua mapinduzi na probably yaliongozwa na raia wa nje wanaoionea wivu miundombinu ya tz,shaba zilizotembea ni halali
Duh akili ndogo za ccm utazijua tu

Yalikuwa maandamano ambayo ni haki Yao
Lakini pia Mapinduzi ya wananchi kupindua serikali dhalimu yapo duniani kote
Hata Zanzibar unajua kwanini inaitwa serikali ya mapinduzi ???

Ni serikali ya wendawazimu TU ndo inaweza kupiga wananchi wake risasi
 
Yet again huna logic, mapinduzi huyajui ww. Ni protest ya kawaida tu

unafanya mapinduz kwa kuchoma duka la Nenga ? 🤣 bro kuwa serious asee
Hamkuwasikia waandamanaji wakiimba wanataka nchi yao, samia out, jeshi lichukue nchi..? Hivyo ni viashiria watu walikuwa wanataka kupindua serikali.
 
Alinisimulia askari mmoja kuwq baadhi ya waandamanaji walidaka bomu la machozi kabla halijalipuka na kumrudishia askari aliyerusha
Watanganyika wana ujasiri kweli kweli; kumbe ilikuwa ni volkano iliyolala na sio volkano mfu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…