PostGE2025 Hit the Jugular: Je, waandamanaji waliipata wapi hii mbinu ya kijeshi?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mawzo yangu ni kwamba viongozi wetu wameruhusu mazingira ya watu watumiwe na vyombo vya nje.
Ukilitazama vizuri swala lenyewe unashindwa kuelewa kuwa :
Je? Ni kweli vombo vyetu havikunusa maandalizi ya haya matukio, huku mara nyingi ikijigamba kuwa wana intelijensia?
Je? Kwa mipango waliyofanya waandamanaji, ni vituo fulani fulani vya mafuta na si vyote vilivyotiwa moto!
Je? Hata Polisi wanaojigamba kulinda mali na maisha ya watu, hawakunusa yanayotarajiwa kujiri, na pale pale vituo vingi vya polisi kutiwa moto?

Haya nitaendelea kujiuliza kwa muda mrefu ujao.
Lazima kuna mkono wa mtu nje na panapofuka moshi pana dalili za moto!
 
Yalikua mapinduzi na probably yaliongozwa na raia wa nje wanaoionea wivu miundombinu ya tz,shaba zilizotembea ni halali
Embu taja kimoja cha kujivunia Tz.....!! Zaidi ya umaskini na ufisadi.

Toka uko porini tembeatemba uko duniani ujionee,..
 
Kwa hivyo unathibitisha walikuwa ilikuwa ni haki Yao, mkiamdamana TENA mtakufa kama nzige... Na mtafanga tarehe nyengine April 26
Wapi nimethibitisha? Acha kujitoa ufahamu! Soma hoja na kuielewa, acha kukurupuka kujibu!
 
actually hilo unaloliwaza haliwezi kutendeka coz mama la mama sio tahira kiasi hicho! Anajua akiwanyonga hatachukua hata dakika 30, nchi itakuwa mikononi mwa wajeda wazalendo! Kama hauamini, ombea wanyongwe uone!
 

Jeshini Huwa hawanyongi wanakutafutia vita wanakupeleka huko ukirudi hai ndio msamaha wako.. kuua wanajeshi kwa kunyonga tena kwa mambo yanayoonekana ni uonevu ni kutengeneza uasi
 
actually hilo unaloliwaza haliwezi kutendeka coz mama la mama sio tahira kiasi hicho! Anajua akiwanyonga hatachukua hata dakika 30, nchi itakuwa mikononi mwa wajeda wazalendo! Kama hauamini, ombea wanyongwe uone!
ndugu hawa wanajeshi wetu chokest kabisa mfumo unawafanya wawe wanyonge kupita kiasi , yaani tiss na wao wao wanachunguzana na kutesana mno na kuogopana , wametengenezewa mfuo wa kogopana kupita kiasi, ninavyooongea wanajeshi wameanza kuachishwa kazi na ukiachishwa ahuachwi mtaani unawekwa lockup ya kijeshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…