Hitimisho la Kesi: Final, Nimemalizana na ishu za mahakama Kuhusu Talaka

Mzee wangu naona umekutana na Mali Safi ya JF.

Wee mwanangu kabisa ujue.Sasa upo free kaka.Maisha yaendelee Ila usisahau mwanao nauza viwanja mashamba na nyumba.

(MAGARI PIA)
 
Uko sahihi kabisa mkuu. Japo watoto pia huwathirika kulelewa katika ndoa yenye changamoto na migogoro.
So kuna namna ya kukabiliana na haya na ninafanya hili kwq commitment ya 100%
Fanton Mahal

Kwa mtu ambaye umetoka kwenye familia ya mzazi mmoja unaona pengo kabisa yani mama anapambana lkn wapi kuna muda unamuhitaji baba.

Sielewi mashauri ya ndoa wanaendeshaje lkn kabla ya kufungua wangekuwa wanapewa muda wa miezi 9 kwanza kujitafakari alafu ndiyo wafungue shauri. Sikatai kweli kuna muda ndoa nyingine haziwezekaniki.
 
Hivi mtu na watoto watatu unakimbilia kudai talaka nani atakuoa, mhπŸ₯²

All in all, pole na hongera kwa kumaliz kiume mkuu
Na sasahiv ataenda kuwa mchepuko wa mume wa mtu rafikiyangu anasemaga hatoki kwenye ndoa yake badae aje kuwa mchepuko maybe ifike ile too much kweli kweli lakin sio kwa ujinga πŸ˜€
 
Hongera mkuu
Huu mkasa wako tangu mwanzo umenifundisha sana kuwa na subra na makini wakat wa kuzungumza hasa wakati hisia za hasira au huzuni zikiwa kali
Nimeanza kujifunza kutulia nikiwa na hasira kuachwa sikuhiz nje njeπŸ˜‚πŸ˜‚
 
HONGERA SANA MKUU. FURAHA YA MOYO NDIYO KILA KITU KWENYE HAYA MAISHA AMBAYO TUNAISHI MARA MOJA
 
So funπŸ˜„πŸ˜„
 
Hongera mkuu
Huu mkasa wako tangu mwanzo umenifundisha sana kuwa na subra na makini wakat wa kuzungumza hasa wakati hisia za hasira au huzuni zikiwa kali
Nimeanza kujifunza kutulia nikiwa na hasira kuachwa sikuhiz nje njeπŸ˜‚πŸ˜‚
Mkuu,
Ulienda kuolewa? Umepotea sanaπŸ˜…
 
Polee Sanaa

Bado mirathiii

Mkiwashianaa uje tenaa
 
Mkuu, hongera sana sana.

Nasisitiza tu USIJE MSAMEHE HUYO MPUMBAVU.

USIJE MPA SECOND CHANCE KWA KIGEZO CHA ATABADILIKA AU MLEE WATOTO.


Angewaza kesho ya watoto wala asingedai talaka.
Na usije mwaminii mwanaume mkuu

Sisi n vinyongaaa wa vinyonganiii

Bahatimbaya akirudi Hatoyama



Ndio maana sipendagi kushauri mambo ya talaka najikita kwenye mirathi yenu nikishauri mkusaidika kantolee sadaka sio hizi mendesfny
 
Sahivi kweli tamu si unaona singo faza kishaanza kupata na videti vya jf mitaa ya sinza πŸ˜‚
Ahahahahah... hayo ni mambo ya kawaida kabisaa na hayahusian kabisa na talaka. Kitu kimoja tu ambacho nina uhakika nacho ni kwamba "i will never ever regret kwa uamuzi wa kipumbavu wa mtu mmoja eti uje uni athiri mimi. Pa kuathirika palikua hapa kati ambako alifikiri ningepata confusion, maana hilo nina uhakika ndio lilikua lengo ambalo lishafeli vibaya mnoo"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…