Hitimisho la Kesi: Licha ya hukumu kutolewa, hakuna official statement niliyokabidhiwa mahakamani

Mimi huyo mwanamke siwezi kumsamehe,
Huyo hawezi kubadilika overnight, lazima atamsumbua tuu jamaa.

Na wakati huu wanaweza hata kutoana uhai.
 
Alisema kabisa jamaa anamlawiti sio alitaka kumlawiti. kiufupi alikuwa anamtengenezea jinai ingine ambayo ingemgharimu Mwana kwa namna ya hatari.
 
Mkuu usipokaza utakuja kutuambia shetani alinipitia, kwanini yeye hakuangaika na kufuata hiyo kopi ya hukumu, matokeo yake anakuuliza wewe, ungejaribu kumwambia nimekuja tu kwenye safari zangu nikaona niwasalimie watoto
Ninawasiwasi huyu mama kafanya mambo kwenye hiyo hukumu.
 
Alisema kabisa jamaa anamlawiti sio alitaka kumlawiti. kiufupi alikuwa anamtengenezea jinai ingine ambayo ingemgharimu Mwana kwa namna ya hatari.
Best yangu hapa sijui anaona hii shida, kila mtu anakosea na anastahili kusamehewa ila alichofanya huyu dada kiukweli sistahood iko topeni!
 
Kumsamehe mwanamke wa hivo ni kuprove udhaifu wako kwake, mke wa jamaa anaonekana alishamuona mumewe ni dhaifu Sana kwake na hapindui, sasa jamaa akirudisha majeshi means ameprove kile mwanamke anafikiria na baada hapo hakuna rangi ataacha kuona. Kuna makosa ya kumsamehe mwanamke lakini sio kama huyu
 
What? yaani waliachana wakiwa tayari na mabinti watatu, then wakarudiana ili tu apate mtoto wa kiume, wakazaa mtoto wa kiume? halafu mwanamke akamuacha jamaa tena?

Ila ni kweli kabisa hawa viumbe wanajua kututumia kwa malengo yao, na akiamua kwa kweli hashindwi. Mungu tu aingilie kati.
Na mbaya zaidi, usidhani mume alikuwa hajui hilo, anajua ila basi tu ndio hivyo kama chatu na mbwa.
 
Haya maombi yako ni ya hatari sana
Sijaona kosa kubwa la kufanya muachane, kisa kilikua kumpiga na yeye akakupeleka polisi mwishoe mkafikia mahakamani..!!

Sasa mkuu kwa idadi hiyo ya watoto kweli uko tayari kuacha wanao wateseke na ikiwa mkeo kashatambua kosa lake? Na bado anakupenda.
Halafu mlichonifurahisha wote mnaonekana ni walezi wazuri wa watoto, mkiachana mtaharibu hao watoto..!!

Usiwasikilize watu humu wanaokomalia muachane, wao washachemka kwenye mahusiano yao wanataka na wengine wawe km wao… KUWA MAKINI.
 
Tatizo wengine wanajua wakiacha acha ndio uanaume kumbe ni ujinga..!!

Hawajui umuhimu wa familia, wanaona sifa kuzalisha kila sehemu hawajui km wanatengeneza sumu kwa watoto..!!

Hakuna kitu nachukia km mwanaume kuzaa na wanawake hovyo hovyo, hii kitu inakuja kusumbua watoto baadae..!!
 
Duuh nimekosa cha kusema
 
Mwanaume tunaye na tunatamba nae.... Tumuache yeye ndo anajua anachokifanya!!!!
Binafsi eti huruma imeniingia juu ya hiyo familia hasa upande wa watoto kama vipi warudiane tuuuu!!Β‘
😹😹😹 kwa kweli tuko pamoja hii familia irudi, kugombana kawaida..!!
Kwanza hatujamsikia bi dada story yake inawezekana naye shemeji kazingua au kuna page kachana hapa..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…