LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
- Thread starter
-
- #401
Kwakifupi hakuna kitu mpaka sasa nimefanya ili kumkomesha yeye. Hata kwemda na gari mpya ,lengo halikua kumshtua, na wala hakukua na plan ya mimi na yeye kuonana nayeKwa mtazamo mnaweza kuona ni sawa lakini sio sawa.
Kumbuka alikwenda kuwachukua watoto, wale watoto washakuwa na ufahamu na utambuzi. Anataka awatengenezee picha gani watoto?
Katika malezi ya watoto kuna vitu tunatakiwa kutokuviendekeza.
Miss u too dear...yani daah upo mdogo akee?I miss u dadaake
Exactly. Tumepita huko kote kabisa.Hii process ya mahakamani inamchakato mrefu. Kama ni wakristo huwa wanaanzia huko kanisani au baraza la kata kwa ajili ya usuluhisho. Kama wangekuwa wanapendana wasingefika mahakamani ambako ni hatua ya mwisho ya kuvunja ndoa. Kama mwanamke kafikia hatua ya kufungua kesi mahakamani, ina maana anamaanisha kuvunja hiyo ndoa, ni vizuri maamuzi yake yahezhimiwe ili asije akaleta tabu baadae.
Yeye hayupo JF, lakini ananijua namna gani ninavyoipenda JF. Na hata baadhi ya nyuzi za vituko zaman nilikua namsomea, anacheeeeeka 😂Kama vipi tumsikie na dada.... Hii series tunayo mpka mwisho
Nipo dadaang mzuri mzuriMiss u too dear...yani daah upo mdogo akee?
Msweet aaliyyah
Kwakifupi hakuna kitu mpaka sasa nimefanya ili kumkomesha yeye. Hata kwemda na gari mpya ,lengo halikua kumshtua, na wala hakukua na plan ya mimi na yeye kuonana naye
Ahahahahaha..hamna bwana.Wahi Fanya chap!!!! Si unajua wanaume wa hivi wachache ushindani ni mkubwa!!! Usikute saa hii Pm ya gentleman ishajaa!!!
Relax mkuu wanguTena dhaifu hasa na sio muda atakuja na kilio kipya hapa
🤣🤣🤣🤣🤣Sasa mnaosema alirespond kama wanarudiana, mlitaka akikutana nae ampige bisu la kifua? Amtoe na macho yote ayatafune? Ndio mjue Sasa kweli hamtaki
Ujue , nilipokua Day care kwa dogo, nikaomba apigiwe simu niongee nae ili nirusiwe kutoka na mtoto, nilipomsalimia tu , swali lake la kwanza likawa "baba xx, ulikuja kufuata ile hukumu?"Hukumu hio mimi naona mwanamke kacheza mchezo jamaa asiipate ndio hivyo ukiachwa achika ushapewa ulichotaka kubariana na ulichokitaka
Hakika....Yangoswe muachie ngoswe
Sikuitaka talaka from day 1. Nilimpenda mke wangu, na ndio maana hata siku ile usiku nimemchapa makofi, baada ya kukimbia na muda unalwenda, ni mimi ndio nilijipeleka polisi saa 6 za usiki kutoa taarifa kuwa "nimegombana na mke wangu na amekimbia nyumban haomekan ni masaa mawili sasa, nina hofu asije akapata tatizo huko aliko" wakasema acha namba zako za simu, nikaondoka, nilimtafuta sana, mpaka nilipopata simu toka kwa mjumbe.Kwani we unataka talaka? Maana ni kama mkeo hataki talaka. All in all wanaume epukeni masingo maza si mnaona huyu anambusu mzazi mwenzie.
Ngoja tuperuzi humu JF kupoteza mawazo hahaha...Nipo dadaang mzuri mzuri
Nimekuelewa vizuri. Na naomna ni clarify, SIJAPATA WAZO LA KURUDIANA NA MTU.Mkuu naomba nikushauri kitu hapa
Nakuomba sana tena sana; USIKUBALI KURUDIANA NA HUYO MWANAMKE.
Ni kweli tunavumilia mengi kwenye ndoa lakini kwa mliko fika hutakiwi kurudi nyuma
Kama alikusaliti na bado akaenda mahakamani na kusingizia yote hayo sijui unapata wapi ujasiri wa kupata hata wazo la kumrudia???
Kuhusu watoto asikudanganye mtu, watakua na watakuwa vile mwenyezi Mungu alivyowapangia (fate). Kwani ikitokea ukafa hawatakua?? Nani anaijua kesho???
Kwanza kuna ndoa watu wanalazimisha kuishi pamoja ili walee watoto lakini visa vya hizo ndoa ndo zinawaharibu watoto kabisa bora hata wangeachana.
Kama ukikaza fuvu na kutumia hisia badala ya akili ukarudi niseme tu RIP in advance.
NB: niko kwenye ndoa kwa miaka 8 sasa, tuna watoto watatu na ndoa yangu haina changamoto so far
Aisee niwie radhi kwakweli mambo mengiNgoja tuperuzi humu JF kupoteza mawazo hahaha...
Hujanialika Eid jamani ningepanda SGR shwaaaaa
Wewe Lamomy unaongea tuu, ili kuleta mjadala ila sidhani hata unaamini unachokisem.Hao ni wanandoa sio maadui wana namna zao za kuombana msamaha..!!
Yah, i played nice, but i was eyes on man. Cant be fooled twice brotherYou are too nice for this Motherfucker broken X wife
Huyo karani anatengeza miaya ya Rushwa Toka February hadi Sasa,pia hili jambo ni gumu,hivyo Huenda wanavuta muda kwamba mnaweza kufuta maamuzi ya mahakama,mkarudiana! Hao watoto wananiuma kama vile wajomba zangu,sio maisha haya!Sawa sawa mkuu. Ni kweli ule mwenendo wa kesi yule hakim alikua anaandika kwa mkono na kila mtu aliusaini mwishoni, so wakasema utachapwa ndio tupatiwe
Plan haikua primarily kufuata divorce paper . Plan main ilikua ni kuhamisha ofis toka Dar maana kwasasa nimeamua kuhamishia operations zangu mkoani. Hivyo nikatumia fursa hii kuunganisha na siku ambayo hukumu itakua tayarSijajua hata anataka kufanyia nini hyo Divorce peper, Au kuna sehemu unaweza kuombea kazi?
Hapo ilikua alie omba talaka ndo awe na kihere here cha kudai hyo Divorce peper.
Otherwise, Mleta maada inabidia focus na mambo yake tu na kukumbuka watoto
Hapana mkuu. Nili miss wananguNaona umemmiss pia....