Hitimisho la Kesi: Licha ya hukumu kutolewa, hakuna official statement niliyokabidhiwa mahakamani

Hujakosea kitu mkuu wangu. Hapo nirudi kufuata kifo changu tu, hakuna kingine
 
Ee ndio si unakumbuka pale mahakamani bibie alikaa chini kama kamwagiwa maji na hakutegemea kama mshikaji yuko serious.
 
Umezingua Ungetafuta demu mmoja ukampanga akusumbue umue kwenye awe anakupigia na kukutumia sms kila mara wakati mko na huyo X wako
Ahahahah...wanasema "THE BEST REVENGE IS TO BE UN-LIKE THE ONE WHO PERFORMES THE INJURY". Sasa mimi acha niwe tofaut. Na by the way am not doing this to punish her. Am just being me.
 
Ahahahah...wanasema "THE BEST REVENGE IS TO BE UN-LIKE THE ONE WHO PERFORMES THE INJURY". Sasa mimi acha niwe tofaut. Na by the way am not doing this to punish her. Am just being me.
You played the game well mwaisa...kazia hapo hapo,kwanza ulipoenda na hiyo NAVARA umemvuruga kabisa! Me naamini umesha heal now,huwezi kurudiana nae! Ongea na huyo karani vizuri na uandae posho kidogo upewe nakala ya hukumu uwe huru na maisha yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…