Hivi hawa watu wanalipwa na hizi redio?

Lawena naonda
Mwl kened mpemba
Hamis full migebuka
Nimekua nikiwasikia Toka nipo janki kitambo sana
 
Ni kama wale mashabiki wa Simba au yanga hawakosi kwenda uwanjani timu Yao ikicheza tu akina jimmy kindoki, na yule mwamba wa nywenye za rangi jina nimelisahau
 
Kuna hiyo wa zamani kule RTD Wajadi Fundi Wajadi toka shimoni Mtwara
 
Lawena Sonda Mzee wa Makongorosi Chunya a.k.a baba mzazi eeeh baba, Top Manyota kutoka Tunduma Boda ya wajanja, Wajadi fundi Wajadi, Leah Mamvi,
Dah kwakwi orodha haiwezi kukamilika bila Wajadi fundi wajadi
 
Wengine nikajua washapata kazi clouds mana kila siku unasikia majina yao.
 
Kuna King Majuto wa DW
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…