Hivi Hayati Magufuli angekuwa hai hali ingekuwaje mpaka sasa

Hayupo na bado watu wanalia usd hakuna,mfumuko wa bei huduma zimepanda pesa hakuna,wapinzani wananeng'eneka wacheni unafiki wa kike watanzania kujifanya unalia kitandani kwa maumivu kumbe unafurahia gongo linapekecha vizuri!
 
Akili ndogo
 
Bagamoyo hakuna kiwanda cha chumvi?
Hakuna kiwanda pale. Navijua vyote viko hapo mbele ya malaika beach resort. Vile sio viwanda.

Kiwanda ni kitu kinafanya productions, kimeajiri watu zaidi ya 10+ wanaolipwa mishahara na wakatwa payee, kinalipa corporate tax na vitu kama hivyo.
 
Hao akina Lema ndo wakimbizi? Wabongo bado mataahira sana!
Wewe unafikiri mkimbizi ni mtu anayekimbia mbio?

Utahira utakuwa nao wewe usiyejua maana ya neno "asylum" waliyopewa huko walikoenda bila vikwazo.

Jielimishe usiwe unabwatuka tu.
 
Angekuwa Tajiri sana maana speed ya kujilimbikizia mali ilikuwa kubwa
 
Mungu wako ameguswa naona unavyo ngaka kama kenge aliye jeruhiwa.
Acheni utahira mavi nyie!

Watu maisha magumu hakuna kitu hakijapanda ila mko hapa kunengua viuno?
 
Wewe ni hopeless.
 
Taasisi isiyoweza kujiendesha bila ruzuku inatoaje gawio? Inawezekana kulikuwa na maigizo yalioyotokana na woga.
 
Kama JPM angekuwapo US DOLLAR ingekuwa inapatika bila shida tena exchange rate isingekuwa inazidi 2,300. Watu wangeendelea kununua vitu nje bila kudunduliza Dollaar.
Jpm ndo chanzo cha usd kutoka 1700 to 2300.
 
Bila kumung'unya maneno Magufuli angekuwepo mpaka sasa Watanzania tungekuwa kama Waethiopia kujazana kwenye malori na kwenda kutafuta maisha Nchi jilani maana hali ya maisha ya Mwananchi mmoja mmoja ingekuwa ni mbaya sana
 
Mie najionea bakari na albakari wote wale wale tu.. Mwendazake alipuyanga kwake na huyu mama yenu anapuyanga kwake.
 
Yani nakuakikishia hela ya kuingia jf tungekuwa hatuna dadeki, Mungu hafanyi makosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…