kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Hayupo na bado watu wanalia usd hakuna,mfumuko wa bei huduma zimepanda pesa hakuna,wapinzani wananeng'eneka wacheni unafiki wa kike watanzania kujifanya unalia kitandani kwa maumivu kumbe unafurahia gongo linapekecha vizuri!Kipindi kile kila kitu kilikuwa ovyo ovyo biashara kila siku zinafunga yakiwemo mahotel na viwanda kama hususani vya chumvi. Kule bagamoyo viwanda vya chumvi vyote vilikuwa vimebaki magofu tu.
Hali ya mabank au financial system ilikwa paralysed na mabank kibao yakafunga biashara mf bank ya efata nk.
Bureau de change zote biashara ikafa. Kila sehemu ilikuwa ni vilio tu.
Sasa angekuwa yupo hai mpaka Leo nchi ingekuwa inaomboleza daily kwa watu kufa ama kwa stress au kwa msongo wa mawazo mana biashara hakuna, ajira hakuna kila kituhakuna.