Hivi Hayati Magufuli angekuwa hai hali ingekuwaje mpaka sasa

Hivi Hayati Magufuli angekuwa hai hali ingekuwaje mpaka sasa

Kipindi kile kila kitu kilikuwa ovyo ovyo biashara kila siku zinafunga yakiwemo mahotel na viwanda kama hususani vya chumvi. Kule bagamoyo viwanda vya chumvi vyote vilikuwa vimebaki magofu tu.

Hali ya mabank au financial system ilikwa paralysed na mabank kibao yakafunga biashara mf bank ya efata nk.

Bureau de change zote biashara ikafa. Kila sehemu ilikuwa ni vilio tu.

Sasa angekuwa yupo hai mpaka Leo nchi ingekuwa inaomboleza daily kwa watu kufa ama kwa stress au kwa msongo wa mawazo mana biashara hakuna, ajira hakuna kila kituhakuna.
Hayupo na bado watu wanalia usd hakuna,mfumuko wa bei huduma zimepanda pesa hakuna,wapinzani wananeng'eneka wacheni unafiki wa kike watanzania kujifanya unalia kitandani kwa maumivu kumbe unafurahia gongo linapekecha vizuri!
 
Kipindi kile kila kitu kilikuwa ovyo ovyo biashara kila siku zinafunga yakiwemo mahotel na viwanda kama hususani vya chumvi. Kule bagamoyo viwanda vya chumvi vyote vilikuwa vimebaki magofu tu.

Hali ya mabank au financial system ilikwa paralysed na mabank kibao yakafunga biashara mf bank ya efata nk.

Bureau de change zote biashara ikafa. Kila sehemu ilikuwa ni vilio tu.

Sasa angekuwa yupo hai mpaka Leo nchi ingekuwa inaomboleza daily kwa watu kufa ama kwa stress au kwa msongo wa mawazo mana biashara hakuna, ajira hakuna kila kituhakuna.
Akili ndogo
 
Bagamoyo hakuna kiwanda cha chumvi?
Hakuna kiwanda pale. Navijua vyote viko hapo mbele ya malaika beach resort. Vile sio viwanda.

Kiwanda ni kitu kinafanya productions, kimeajiri watu zaidi ya 10+ wanaolipwa mishahara na wakatwa payee, kinalipa corporate tax na vitu kama hivyo.
 
Hao akina Lema ndo wakimbizi? Wabongo bado mataahira sana!
Wewe unafikiri mkimbizi ni mtu anayekimbia mbio?

Utahira utakuwa nao wewe usiyejua maana ya neno "asylum" waliyopewa huko walikoenda bila vikwazo.

Jielimishe usiwe unabwatuka tu.
 
Angekuwa Tajiri sana maana speed ya kujilimbikizia mali ilikuwa kubwa
 
Mungu wako ameguswa naona unavyo ngaka kama kenge aliye jeruhiwa.
Acheni utahira mavi nyie!

Watu maisha magumu hakuna kitu hakijapanda ila mko hapa kunengua viuno?
 
Nani alithubutu Nyerere hp? Ni mali ya ccm?

Tumia japo akili kisoda uliyonayo kutafakari.

Mlimwua kwa sababu alikata mirija yenu ya unyonyaji. Hizo bureau de change na viwanda mzigo kwa wananchi. Mnachukua mikopo halafu viwanda badala ya kuzalisha vinaagiza bidhaa nje na hakuna kulipa kodi lakini bidhaa bei juu.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Wewe ni hopeless.
 
Ulitaka waziache halafu Serikali ikiuza dhamana au hati fungani zinatumika pesa zake yenyewe kununua kwa faida ya watu wachache. Hushangai awamu zote Serikali haikuwahi kulipwa gawio kutoka mashirika au kampuni inapomiliki hisa...mpaka alipoingia mwamba
Taasisi isiyoweza kujiendesha bila ruzuku inatoaje gawio? Inawezekana kulikuwa na maigizo yalioyotokana na woga.
 
Kama JPM angekuwapo US DOLLAR ingekuwa inapatika bila shida tena exchange rate isingekuwa inazidi 2,300. Watu wangeendelea kununua vitu nje bila kudunduliza Dollaar.
Jpm ndo chanzo cha usd kutoka 1700 to 2300.
 
Bila kumung'unya maneno Magufuli angekuwepo mpaka sasa Watanzania tungekuwa kama Waethiopia kujazana kwenye malori na kwenda kutafuta maisha Nchi jilani maana hali ya maisha ya Mwananchi mmoja mmoja ingekuwa ni mbaya sana
 
Mie najionea bakari na albakari wote wale wale tu.. Mwendazake alipuyanga kwake na huyu mama yenu anapuyanga kwake.
 
Kipindi kile kila kitu kilikuwa ovyo ovyo biashara kila siku zinafunga yakiwemo mahotel na viwanda kama hususani vya chumvi. Kule bagamoyo viwanda vya chumvi vyote vilikuwa vimebaki magofu tu.

Hali ya mabank au financial system ilikwa paralysed na mabank kibao yakafunga biashara mf bank ya efata nk.

Bureau de change zote biashara ikafa. Kila sehemu ilikuwa ni vilio tu.

Sasa angekuwa yupo hai mpaka Leo nchi ingekuwa inaomboleza daily kwa watu kufa ama kwa stress au kwa msongo wa mawazo mana biashara hakuna, ajira hakuna kila kituhakuna.
Yani nakuakikishia hela ya kuingia jf tungekuwa hatuna dadeki, Mungu hafanyi makosa
 
Back
Top Bottom