Lutandagula
JF-Expert Member
- Apr 8, 2018
- 1,762
- 2,154
Naona mmeunda timu ya kumchafua ili anyang'anywe tonge,kila sehemu mnamsema DC Hai,Wewe na Lema acheni ushamba mlishatubu lakini?Kama ilifikia mahali kiongozi anatoka eneo la himaya yake yake ya kazi anakwenda kuvamia maduka ya watu, kwanini kiongozi kama huyu asiitwe jambazi?...
Msiwe na kiburi mjifunze kulipa kodi kwa hiyali!Aiseee inasikitisha sana,utawala wa JIWE wafanyabishara wamenyanyasika sana ,wameteseswa sana,wamefilisiwa sana na TASK FORCE.
Usiwe na shaka sura utaiona kama ulivyoona sura ya jiwe pale Uhuru Stadium.mbona sioni sura yake
haina shidaUsiwe na shaka sura utaiona kama ulivyoona sura ya jiwe pale Uhuru Stadium.
Msiwe na kiburi mjifunze kulipa kodi kwa hiyali!
biashara yake imesaidia zahanati au shule ngapi?Ole na swala kuongeza vyanzo vya mapato nchini
Kama ni kweli hii style tunaiitaje kiuchumi?
View attachment 1746150
View attachment 1746149
Acha Upumbavu, kuna kitu gani huelewi hapo? Kudai kodi maduka ya Arusha kunamhusu nini wakati ofisi yake iko Hai? Unadai kodi unazima CCTV kamera unafichua nini? Upumbavu huu sasa mwisho na Mungu hapendi dhulma. Huyo nyau kwa uwezo wa Mungu atakua na maisha mafupi sana, maisha ya dhulma ni mafupi sana.Naona mmeunda timu ya kumchafua ili anyang'anywe tonge,kila sehemu mnamsema DC Hai,Wewe na Lema acheni ushamba mlishatubu lakini?
Msiwe na kiburi mjifunze kulipa kodi kwa hiyali!
Inaweza kuwa haijasaidia zahanati wala shule direct ila ikawa imesaidia kuongeza ajira, kuwapa mahitaji muhimu wananchi japo wachache na kukuza uchumi wa taifa kwa kulipa kodibiashara yake imesaidia zahanati au shule ngapi?
Ukiwahi kufanya biashara we Kitutu?Msiwe na kiburi mjifunze kulipa kodi kwa hiyali!
Alikuwa na mabunduki ya polisi?Kwa mujibu wa gazeti andiko toka gazeti kiuchunguzi la Sauti huru hizi ni video zilizonaswa na CCTV zikionesha jinsi DC wa Hai alivyovamia maduka ya watu Usiku mjini Arusha akinyang'anya pesa za wafanyabiashara kwa nguvu.
ajira ngapi na wapi?Inaweza kuwa haijasaidia zahanati wala shule direct ila ikawa imesaidia kuongeza ajira, kuwapa mahitaji muhimu wananchi japo wachache na kukuza uchumi wa taifa kwa kulipa kodi
Utakosa bwana wa kukuhonga sasa, yule mbwa hawezi kuachwa HaiNaona mmeunda timu ya kumchafua ili anyang'anywe tonge,kila sehemu mnamsema DC Hai,Wewe na Lema acheni ushamba mlishatubu lakini?
Mbwa ww, umetesa sana wafanyabiashara, Sabaya utakuwa na mwisho mbaya jambazi wwMsiwe na kiburi mjifunze kulipa kodi kwa hiyali!
Team Jiwe ilikuwa balaaBalaa kubwa
Wewe nani "Jingalao"?mbona sioni sura yake
Acha uchawi wewe DC na Kodi wapi na wapi? TRA kazi yao NI ipi? Lema anahusikaje hapa?Naona mmeunda timu ya kumchafua ili anyang'anywe tonge,kila sehemu mnamsema DC Hai,Wewe na Lema acheni ushamba mlishatubu lakini?