Hivi huyu ni Kiongozi au tapeli? Kwanini Mamlaka zinamlea kiasi hiki?

Ndio yule aliyevamia hotelini alipokua amelala mwanamuziki wetu mrembo wa kanda ya kaskazini akitaka ampe mpododo? Hatari sana!
 
Halafu akifa anataka eti Mungu Mkuu ampe aongoze malaika.Silly!
 
Kwa namna anavyosagiwa kunguni... hawezi kutoboa

Haya machozi hayakuwa bure.... watu wa kaskazini watamfanyia tohara nyingine 😁 😁 😁
 
Kwa namna anavyosagiwa kunguni... hawezi kutoboa

View attachment 1746217

Haya machozi hayakuwa bure.... watu wa kaskazini watamfanyia tohara nyingine 😁 😁 😁
Lazima ahame otherwise mtakuta makende zinaning'inia kwenye mti pale arumeru, au tumlambe fimbo sabini kama babake na alipe faini ya ng'ombe 300 shenzi huyu ng'utunyi, shieee. Minyii kinyaitrai ngayoni huyu
 
Hao wafanyabiashara mnajua wamefanyaje mpka yamewakuta hayo?
 
Huyo ndio moja kijana muhuni wa Hayati aliokuwa anamwaminia sana katika uchapaji kazi
 
Lazima ahame otherwise mtakuta makende zinaning'inia kwenye mti pale arumeru, au tumlambe fimbo sabini kama babake na alipe faini ya ng'ombe 300 shenzi huyu ng'utunyi, shieee. Minyii kinyaitrai ngayoni huyu
Ahahahha bwana ngutunyi
 
Alfu Kuna mshirika[emoji1663]wake mkuu anaitwa Moses ngereza wale Ni magaidi wote
 
Huyu mama given ni ccm,anaweza kumpa hata uRC
Ccm hawaaminiki.
 
Hapo ni Arusha hilo duka lipo mkabala na Msikitini wa Bondeni.Hao Waarabu baada ya kuona wanevamiwa waliomba msaada wa Diwani wa Sombetini Mheshimiwa Bakari nae alipokuja kutaka kutoa msaada akapewa kichapo cha nguvu hadi akapelekwa Hospital kwa matibabu.
Hii issue ilijadiliwa hadi kikao cha RDC Mkoa wa Arusha sijui ilizimwa Vipi kwasababu ilikuwa mwezi February Mwaka huu.

Baada ya kuona kaharibu wakamtumia kigogo kwamba anaumwa corona na yuko mahututi ili kupooza issue nzima ikiwa ni pamoja na kumtumia watu diwani wa Sombetini asilipeleke kwa Wandishi wa habari.

Kupitia vitendo vyake nimejikuta ile heshima waliokuwa nayo Wakuu wa Wilaya ikizidi kupungua siku hadi siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…