Hivi huyu ni Kiongozi au tapeli? Kwanini Mamlaka zinamlea kiasi hiki?

Hivi huyu ni Kiongozi au tapeli? Kwanini Mamlaka zinamlea kiasi hiki?

Ndio yule aliyevamia hotelini alipokua amelala mwanamuziki wetu mrembo wa kanda ya kaskazini akitaka ampe mpododo? Hatari sana!
 
Kama ilifikia mahali kiongozi anatoka eneo la himaya yake yake ya kazi anakwenda kuvamia maduka ya watu, kwanini kiongozi kama huyu asiitwe jambazi?

Huu unyang'anyi au uporaji wa mali za watu usiku unatumwa na nani? Halafu mpuuzi moja akitoka hapo anamtaja hadi Mungu.

Kwa mujibu wa gazeti andiko toka gazeti kiuchunguzi la Sauti huru hizi ni video zilizonaswa na CCTV zikionesha jinsi DC wa Hai alivyovamia maduka ya watu Usiku mjini Arusha akinyang'anya pesa za wafanyabiashara kwa nguvu.

Hawa ndio viongozi wa umma wa serikali ya mwendazake.

View attachment 1746084
View attachment 1746085
Halafu akifa anataka eti Mungu Mkuu ampe aongoze malaika.Silly!
 
Kwa namna anavyosagiwa kunguni... hawezi kutoboa

2721296_sabaya.jpg



Haya machozi hayakuwa bure.... watu wa kaskazini watamfanyia tohara nyingine 😁 😁 😁
 
Kwa namna anavyosagiwa kunguni... hawezi kutoboa

View attachment 1746217


Haya machozi hayakuwa bure.... watu wa kaskazini watamfanyia tohara nyingine 😁 😁 😁
Lazima ahame otherwise mtakuta makende zinaning'inia kwenye mti pale arumeru, au tumlambe fimbo sabini kama babake na alipe faini ya ng'ombe 300 shenzi huyu ng'utunyi, shieee. Minyii kinyaitrai ngayoni huyu
 
Hao wafanyabiashara mnajua wamefanyaje mpka yamewakuta hayo?
 
Huyo ndio moja kijana muhuni wa Hayati aliokuwa anamwaminia sana katika uchapaji kazi
 
Lazima ahame otherwise mtakuta makende zinaning'inia kwenye mti pale arumeru, au tumlambe fimbo sabini kama babake na alipe faini ya ng'ombe 300 shenzi huyu ng'utunyi, shieee. Minyii kinyaitrai ngayoni huyu
Ahahahha bwana ngutunyi
 
Alfu Kuna mshirika[emoji1663]wake mkuu anaitwa Moses ngereza wale Ni magaidi wote
 
Huyu mama given ni ccm,anaweza kumpa hata uRC
Ccm hawaaminiki.
 
Wewe nani "Jingalao"?

Ngoja niwe upande wako leo.

Hii ni video ya kipropaganda.
Haionyeshi hapo ni wapi, na ni nani huyo mwarabu na hao jamaa ni akina nani.

Mleta mada kaiweka hapa kwa sababu anazojua mwenyewe.

Huyu hana tofauti kubwa na misimamo yeny akina 'Jingalao' mnayoifanya hapa jukwaani.

JF inaharibiwa na mada za aina hii zisizokuwa na maelezo yanayojitosheleza.

Hapo ni Arusha hilo duka lipo mkabala na Msikitini wa Bondeni.Hao Waarabu baada ya kuona wanevamiwa waliomba msaada wa Diwani wa Sombetini Mheshimiwa Bakari nae alipokuja kutaka kutoa msaada akapewa kichapo cha nguvu hadi akapelekwa Hospital kwa matibabu.
Hii issue ilijadiliwa hadi kikao cha RDC Mkoa wa Arusha sijui ilizimwa Vipi kwasababu ilikuwa mwezi February Mwaka huu.

Baada ya kuona kaharibu wakamtumia kigogo kwamba anaumwa corona na yuko mahututi ili kupooza issue nzima ikiwa ni pamoja na kumtumia watu diwani wa Sombetini asilipeleke kwa Wandishi wa habari.

Kupitia vitendo vyake nimejikuta ile heshima waliokuwa nayo Wakuu wa Wilaya ikizidi kupungua siku hadi siku.
 
Back
Top Bottom