Hivi inakuwaje mtu mzima anakosa pesa Tanzania hii?

Mrudie Mungu kijana bado una njia ndefu sana ya kufika unakokwenda.

Mwenye pesa wala hajisifu ni wewe masikini ndiyo unapiga kelele dunia nzima ikutambue. What a joke!
Inakuwaje mtu mzima kuwa masikini?
Mimi ni mtoto mdogo ila pesa imejaa
 
Yetu macho
 
Eti "nashindwaga";ndiyo nini, ni lugha gani hiyo. Anayejisifu ana hela na hajui hata kiswahili tu,, ni mjinga kama wajinga wengine.
 
WE JAMAA ELA ZAKO ZITAKUA ZA MAJINI....MWAKA 2015 ULIKUA FALA TU MACHINGA PALE STAND YA ZAMANI SINGIDA MJINI LEO UNASIMANGA WATU...KAMA ELA ZAKO ZA HALALI ELEKEZA WATU NJIA YA KUPITA SIO UNASIMANGA...NAJUA ITAKUUMA UKWELI MCHUNGU..
 
Tafuta hela masikini wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…