SIPENDI SIASA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 791
- 1,199
Mkuu, umesoma comment yangu namba 149??..Basi jitahidi na wewe usiwe wa hovyo kwa watoto wako. Ila samehe na kusahau tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, umesoma comment yangu namba 149??..Basi jitahidi na wewe usiwe wa hovyo kwa watoto wako. Ila samehe na kusahau tu.
Hapana kwani inasemaje.Mkuu, umesoma comment yangu namba 149??..
Mkuu, wewe unaleta huruma za kidini, vitisho na psychological games. Mzazi anayetelekeza mtoto hapaswi kuonewa huruma hata kidogo..Naam! Naweza kuwa kubwa jinga lakini ukweli utabaki kuwa UKWELI kwamba genetically (Biologically) wewe ni matokeo ya "kitendo" baina ya baba na mama yako. Hao wawili wasingejichanga nusu baba + nusu mama; wewe usingelikuwepo leo hapa duniani na kutoa maneno ya kifedhuli hivi. Mbona unakufuru kana kwamba ungeweza kujileta duniani i.e. kuwa Hai, Kujiumba na kujizaa mwenyewe? Kumbuka wapo wenye hekima waliowahi kusema Wazazi wako ndo Mungu wako wa hapa duniani -wakikubariki utabarikiwa na wakikulaani utalaanika. Hujawahi kusikia hilo? Tafakari heshima wanayostahili wazazi wako. Usijitutumue na kujiona mjanja hata kidogo mbele ya wazazi wako hata kama wamekuwa na mapungufu mengi kiasi gani.
Dah! Vijana wa cku hizi! Kama kwa mtizamo wako umemwona mzazi wako ni wa hovyo; Labda nikushauri tu kwamba Uwe mnyenyekevu (ujishushe)mbele yake halafu Ongea naye kwa Heshima na Adabu huku ukimweleza hicho unachoona wewe kwamba ndicho kinamfanya aonekane ni wa hovyo na kama inawezekana umwombe ajaribu kurekebisha. Tena ningekushauri usiongee naye wewe uso kwa uso bali uongee naye kwa kupitia rafiki yake au baba/mama yako kama yupo. Epuka kabisa kwa gharama yoyote ile kumtukana mzazi wako. Usifanye kabisa kitendo hicho bro. Nakuomba tafadhali. Gharama yake ni kubwa mno.Mkuu, acha kumtisha mwenzako kwa imani vya hovyo. Mzazi wa hovyo ni lazima atukanwe. Hatulei maradhi sisi..
Kwanini anatelekeza mtoto baada ya kumzaa?? Kwanini anabagua watoto?? Anampa huyu, anamnyima yule??Kwaiyo mama yako ulimtafutia wewe baba yako na pale kitandani kipindi cha tendo zile spem ni zako eti, huo ndio mchango kwa mzazi wako muheshimu
Acha kunitisha mkuu. Mimi George wa mwaka 2015 na yule wa mwaka 2024 ni watu wawili tofauti kabisa.Dah! Vijana wa cku hizi! Kama kwa mtizamo wako umemwona mzazi wako ni wa hovyo; Labda nikushauri tu kwamba Uwe mnyenyekevu (ujishushe)mbele yake halafu Ongea naye kwa Heshima na Adabu huku ukimweleza hicho unachoona wewe kwamba ndicho kinamfanya aonekane ni wa hovyo na kama inawezekana umwombe ajaribu kurekebisha. Tena ningekushauri usiongee naye wewe uso kwa uso bali uongee naye kwa kupitia rafiki yake au baba/mama yako kama yupo. Epuka kabisa kwa gharama yoyote ile kumtukana mzazi wako. Usifanye kabisa kitendo hicho bro. Nakuomba tafadhali. Gharama yake ni kubwa mno.
Mkuu, kui flash mimba au kumleta mtoto duniani kisha ateseke kwa kumtelekeza, bora nini??..Hapana. Alikuleta kwa Upendo. Unaonaje kama ilipotungwa mimba yako mama yako na baba yako wangelikubaliana kwenda kuiflash? Wamekuwa wavumilivu kwako kukulea/kukutunza kama kitu chenye thamani kubwa hadi leo hii umekuwa mtu mzima halafu unawageukia na kuwatupia madongo vile?
Sijaleta mambo ya huruma za kidini wala vitisho. Mbona mzazi anayetelekeza mtoto bado anayo huruma? Si angeweza kumnyongelea mbali huyo mtoto au kumtupa chooni? Lakini huyo mzazi anako-kachembe ka huruma ndo mana kaona ni kheri nimwache hapa (mahali fulani) watapita watu hapa kumsaidia. Kumbuka Wazazi wengine huwatelekeza watoto huku wazazi hao wenyewe wanalia.Mkuu, wewe unaleta huruma za kidini, vitisho na psychological games. Mzazi anayetelekeza mtoto hapaswi kuonewa huruma hata kidogo..
Hayajakukuta mkuu. Haujawahi kutelekezwa mkuu..Jamani tujifunze kukaa chini na kuelimishana kiungwana. Japo najua hii huwa ni ngumu sababu ya unafki wa waja
Acha uzwazwa. Bila mzasi mtoto angekuwapo na hivyo alivyo? Alaaniwe anayewateiekeza wazazi akijiona kajitengeza. Hata hivyo kama mzazi alikutelekeza si vibaya kumtelekeza.Huwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi yeye alizaa Ili amfanye mtoto punda yaani kiasi kwamba mtoto asipomsaidia mzazi anatangaza kutoa laana wakati na yeye alikua kijana kwahiyo anampa mzigo huyu mtoto baada ya kupambania familia yake anaanza kulea mzazi asiejielewa aisee mtu mweusi akili hana kabisa huu ni udiktekta mambo leo Kwa watoto ukweli usemwe nyie wazee msipende Ganda la ndizi
Tunazungumzia wazazi kwa ujumla. Unakijua kisa cha Balotelli??Kaa na mama Yako akueleze vizuri Kwa Nini baba alikutelekeza
Mkuu, kumyongelea mbali, kumtupa chooni, kui flash mimba au kumleta mtoto duniani kisha ateseke kwa kumtelekeza, bora nini??..Sijaleta mambo ya huruma za kidini wala vitisho. Mbona mzazi anayetelekeza mtoto bado anayo huruma? Si angeweza kumnyongelea mbali huyo mtoto au kumtupa chooni? Lakini huyo mzazi anako-kachembe ka huruma ndo mana kaona ni kheri nimwache hapa (mahali fulani) watapita watu hapa kumsaidia. Kumbuka Wazazi wengine huwatelekeza watoto huku wazazi hao wenyewe wanalia.
Watoto 8 umekuwa mbwa au nguruwe😅wazazi wawili wanaweza kulea watoto 8 ila watoto nane wakashindwa kuwalea wazazi wawili.
Bora mlete mtoto duniani halafu wewe ondoka kwa kifo au kwa kumtoroka mtoto wako i.e. kumtelekeza. Nakuhakikishia 100% atatunzwa, atalelewa na hatopungukiwa chochote hadi awe mtu mzima na kustawi kuliko wewe uliyemtelekeza. Mifano ipo ni mingi tu. Kuflash mimba ni Uuaji sawa kama yalivyo mauaji mengine. Ni ukatili uliokithiri mno kwani mtoto-mimba hawezi kujitetea kwa namna yoyote ile.Mkuu, kui flash mimba au kumleta mtoto duniani kisha ateseke kwa kumtelekeza, bora nini??..
Hili nimelieleza hapo #178.Mkuu, kumyongelea mbali, kumtupa chooni, kui flash mimba au kumleta mtoto duniani kisha ateseke kwa kumtelekeza, bora nini??..
Mzazi aliyenitelekeza huyo kwangu mimi ni takataka..
[/Q
kukutelekezaje. Ulimtafuta akakufukuza? Mtu aliyeshiriki uumbaji wako unamwita takataka. I must be having problem upstairs!