Hivi inakuwaje mzazi anakua tegemezi Kwa mtoto ambaye amejitafuta Kwa jasho lake bila kumrithisha hata mbuzi mmoja

Sijawahi mkuu ila kwa kuwa wewe una experience ya kubeba mimba unaweza kuwa unajua hali ilivyo. Ila mimi nimeshuhudia wale wanaonihusu hali wanazopitia.
Wewe ndio umeleta hicho kitu kwamba anakua nusu mfu au nusu hai nashangaa unahamisha mpira kwangu ndio maana nikakuuliza ulishawahi kuwa mama kijacho inaonekana unajua sana Hali ya mama kija mwenzetu
 
Mzazi kumtunza mtoto ni wajibu na ni lazima na ndiyo maana kuna majukumu mzazi asipotekeleza kwa mtoto huweza kushitakiwa na Jamhuri. Lakini kinyume chake: Mtoto kumtunza mzazi ni fadhila. Mimi furaha yangu ni kuona mtoto anajisimamia mwenyewe bila kumtegemea tena mzazi; ili sisi wazazi tubaki na vyetu. Ajabu wototo wengine hutamani mpaka tone la mwisho la mzazi!
 
Wewe ndio umeleta hicho kitu kwamba anakua nusu mfu au nusu hai nashangaa unahamisha mpira kwangu ndio maana nikakuuliza ulishawahi kuwa mama kijacho inaonekana unajua sana Hali ya mama kija mwenzetu
Sio kila jambo lenye kuleta maumivu ni lazima uwe umelipitia ndio upate nafasi ya kulizungumzia. Mengine ni through experience ya watu wengine. Na ndio sababu ukaleta swala lako humu ili kupata relief ya maumivu yako. Haimaanishi kila mtu amepitia hayo uliyopitia ila tumeona na kuna njia za busara za kushughulika nazo. Sio lazima wote tuwe machokoraa ndio tuwe na uwezo wa kuwazungumzia machokoraa. Wote hao ni sehemu ya maisha yetu na wengine ni ndugu zetu.

Kumuonea huruma mgonjwa wa ukimwi sio lazima niwe nimeumwa ukimwi. Kumuonea huruma aliyebakwa sio lazima ubakwe Vinginevyo dunia hii itakuwa mahali pa hovyo sana kuishi.

Enhee tupe experience yako wewe mkuu uliyewahi beba mimba kwa nini sio nusu uhai au nusu kifo?
 
Maumivu ni makali lakini mwisho wa siku anabaki kuwa mama. Thamani ya pesa ambayo hajakulipa haifikii thamani ya muda aliotumia kubeba mimba yako miezi tisa. Haifikii thamani ya muda aliokuwa chumba cha kujifungua akiwa nusu hai nusu mfu. Haifikii thamani ya kukulea na kukunyonyesha mpaka ukakua
Nilimuomba anizae?? Nilimuomba aninyonyeshe?? Hayo yote nilimuomba mimi?? Hivi unaujua uchungu wa kupata hasara kiasi kikubwa sana cha pesa??..
 
Thamani ya pesa ambayo hajakulipa haifikii thamani ya muda aliotumia kubeba mimba yako miezi tisa.
Kwani wanalazimishwa? Si ndio formality ni sawa na walimu wetu waliokua wanatuambia "mimi nimeacha mke wangu nije kuwafundisha". Ilihali analipwa mshahara!!

Tunachoongelea hapa ni wazazi wanaochukua watoto wao kuna haja gani ya kunibeba miezi 9 alafu ukinizaa hutaki nifanikiwe. Nakumbuka kuna siku nikiwa na miaka 9 mama alikua anakula mwenyewe chumbani (chips kuku) ila mimi na bro ikabidi tukabangaize mtaani tukaja kupika ugali na dagaa mchele za 200. Hiyo siku sijaisahau mpaka leo, kwahiyo kutunza miezi 9 huku pengine hakupendi haina maana angetoa mimba tu
 
Mimi ndio maana sitaki hata hao watoto kudadek zao...

Hv inakuaje mtu unazaa tu alafu huna hata future uliyoweka kwa watoto wako...

Watoto ni umaskini....
Watoto ni matatizo...
Watoto hukatisha ndoto za watu..

Nb hayo yote juu yatakua applied kama ni.maskini huna pesa
Kwa matajiri watoto ni neema
 
Kweli inàbidi uwalaumu sana wazazi wako maana bila wao ungezàliwa familia tofauti. Labda saa hii ungekuwa mtoto wa Dangote unaogelea mahela tuu. Ona sasa unahangaika JF kukashfu màma yako eti kwàni kuna mimba iliwahi kubebwa mwezi mmoja.!
Una akili nyingi sàna wewe.
Tunaongelea wazazi waliochukia watoto sasa unadhani mtu mwenye chuki hivyo angekua na chance ya kutoa mimba yangu asingefanya? Maana alibeba miezi 9 maana ndio utataribu lakini huwezi jua alikua anaitamkia nini mimba muda wote pengine hata alijuta kuwa na mimba.

Coz haiingiii akilini alinizaa alafu akawa hataki nisomeshwe, baadae akawa hataki nipate kazi wala kufanya biashara ili tu anedelee kunisakama. Alafu unakuja kutoboa mtu anasema "alikubeba miezi 9 sijui alikunyonyesha". Aisee wengine mnaandika hamjapitia nayosema.
 
Sio kila jambo lenye kuleta maumivu ni lazima uwe umelipitia ndio upate nafasi ya kulizungumzia. Mengine ni through experience ya watu wengine. Na ndio sababu ukaleta swala lako humu ili kupata relief ya maumivu yako. Haimaanishi kila mtu amepitia hayo uliyopitia ila tumeona na kuna njia za busara za kushughulika nazo. Sio lazima wote tuwe machokoraa ndio tuwe na uwezo wa kuwazungumzia machokoraa. Wote hao ni sehemu ya maisha yetu na wengine ni ndugu zetu.

Kumuonea huruma mgonjwa wa ukimwi sio lazima niwe nimeumwa ukimwi. Kumuonea huruma aliyebakwa sio lazima ubakwe Vinginevyo dunia hii itakuwa mahali pa hovyo sana kuishi.

Enhee tupe experience yako wewe mkuu uliyewahi beba mimba kwa nini sio nusu uhai au nusu kifo?
Gazeti refu sana jibu swali ulishawahi kubeba mimba
 
Tunaongelea wazazi waliochukia watoto sasa unadhani mtu mwenye chuki hivyo angekua na chance ya kutoa mimba yangu asingefanya? Maana alibeba miezi 9 maana ndio utataribu lakini huwezi jua alikua anaitamkia nini mimba muda wote pengine hata alijuta kuwa na mimba.

Coz haiingiii akilini alinizaa alafu akawa hataki nisomeshwe, baadae akawa hataki nipate kazi wala kufanya biashara ili tu anedelee kunisakama. Alafu unakuja kutoboa mtu anasema "alikubeba miezi 9 sijui alikunyonyesha". Aisee wengine mnaandika hamjapitia nayosema.
Yaani unamsaidia pesa mtu aliyekuwa anahakikisha wewe haufanikiwi?? Daah mkuu una moyo wa ajabu na wa kipekee sana. MIMI SIWEZI..
 
Kwani wanalazimishwa? Si ndio formality ni sawa na walimu wetu waliokua wanatuambia "mimi nimeacha mke wangu nije kuwafundisha". Ilihali analipwa mshahara!!

Tunachoongelea hapa ni wazazi wanaochukua watoto wao kuna haja gani ya kunibeba miezi 9 alafu ukinizaa hutaki nifanikiwe. Nakumbuka kuna siku nikiwa na miaka 9 mama alikua anakula mwenyewe chumbani (chips kuku) ila mimi na bro ikabidi tukabangaize mtaani tukaja kupika ugali na dagaa mchele za 200. Hiyo siku sijaisahau mpaka leo, kwahiyo kutunza miezi 9 huku pengine hakupendi haina maana angetoa mimba tu
Pole! Ila mwisho wa siku ukiona hafai kupewa msaada na wewe unakaa kimya unatimiza mpango wako. Ukiandika humu watu wenye nia njema na wewe watakupa ushauri tu. By the way una uwezo wa kumkataa mzazi wako kuwa humtambui na asikujue. Sio lazima uwe mtoto wake huku moyoni una chuki naye. Nafikri hapo utakuwa umemalizana naye vizuri.
 
Hapa sasa tupo pamoja mkuu. Hakika umenena vema..
 
Mkuu unapata wapi nguvu kumpatia pesa mtu unayemchukia? Waambieni hao mnaowaita wazazi hamuwatambui sidhani kama wataendelea kuwasumbua.
Nilianza kumchukua baada ya kuniingiza hasara ya pesa na sio kabla..
 
Tumejaribu Kushauri imekuwa ngumu. Nafikiri huo ni mpango mzuri. Wakataeni wazi ili wajue wanapambanaje na hali zao. Lakini kutoa pesa huku unajilalamisha haina afya kabisa. Julisha familia kuwa huyu sio baba au mama yangu na mwishowe ukoo usikutambue pia. It's simple
 
Nakumbuka kuna siku nikiwa na miaka 9 mama alikua anakula mwenyewe chumbani (chips kuku) ila mimi na bro ikabidi tukabangaize mtaani tukaja kupika ugali na dagaa mchele za 200. Hiyo siku sijaisahau mpaka leo,
Duuh, hii Kali sana mkuu. Pole sana brother. Mimi ninakumbuka wakati nipo mdogo kuna siku nimepakua ugali ile ninaenda tu katika sufuria la mboga aina ya Samaki, akakimbia fasta akalinyakua lile sufuria akakimbia nalo, mimi nikapakua tu mboga ya majani nikala, kesho asubuhi nikawahi shuleni. Nilikuwa secondary school..
 
Back
Top Bottom