Kwani wanalazimishwa? Si ndio formality ni sawa na walimu wetu waliokua wanatuambia "mimi nimeacha mke wangu nije kuwafundisha". Ilihali analipwa mshahara!!
Tunachoongelea hapa ni wazazi wanaochukua watoto wao kuna haja gani ya kunibeba miezi 9 alafu ukinizaa hutaki nifanikiwe. Nakumbuka kuna siku nikiwa na miaka 9 mama alikua anakula mwenyewe chumbani (chips kuku) ila mimi na bro ikabidi tukabangaize mtaani tukaja kupika ugali na dagaa mchele za 200. Hiyo siku sijaisahau mpaka leo, kwahiyo kutunza miezi 9 huku pengine hakupendi haina maana angetoa mimba tu