Hivi inawezekana kuishi kwa bajeti ya kila kitu? Chakula, mavazi, matumizi binafsi, nk?

Ukipata muda Kuna audiobook: the richest man in Babylon ipo kwa KISWAHILI unaweza icheki.

Itakupa mwanga Bora Sana kwenye cash management & budgeting.
 
Kwa ufupi,watu hawana vipato vya kupangia bajeti.Ni "hand to mouth budgets"!Kipato cha dola moja kwa siku Mola akijaalia ndiyo upange na bajeti?Utakuwa ni uongo mtukuka.
Bora wee unasema ukweli wa mambo.
Less than a dollar a day unapanga budget gani? Budget kama take home inaanza na 1.5 mil. Chini ya hapo wee kula tuu familia iishi vizuri
 
Panga bajeti ya chini ya bajeti yako, yaano kama unataka kupanga bajeti ya 300K/month jipangie bajeti ya 200/K.

Bajeti ikibalance yaani 300K/month na wewe ukapigia hesabu matumizi ya 300K iyo iyo jua tu lazima kuna kiasi kitazidi
 
Shukrani
 
Ebo! Yaani furaha ya maskini nayo tusipate...acha umama bwana sie tunazaa tuu, mungu yupo watoto wataishi tuu🀣🀣🀣🀣
Inamaana unashindwa kutofautisha kati ya furaha ya kulombana na kuzaa? Kwani ukilomba lazima uzae? Si unapanga uzazi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…