Latent chaos
JF-Expert Member
- Jul 15, 2024
- 1,515
- 3,141
Kama muuzaji ana lipa namba,natumia hiyo,ila kama hana nikitoa pesa basi nitaweka note ili iwe rahisi,japokuwa kiukweli tokea nianze kuishi peke yangu almost miaka 4 sasa,sijawahi kununua nyanyaNyana utanunua kwenye airtel money app?
Jaribu Taimur product search huko Instagram utaipata.. mimi mwaka wa 3 huu naitumia niko very soft na rangi yangu haichubui .. ukiwatafuta watakushauri kwanza baada ya kuona ngozi yako but mimi haijanikataaNambie skin care nzuri uso wangu umeharibika sjui nta recover ?
Bora nimezaliwa wa kike… kwakweli na huu ubahili nisingeweza kutoa hela zote hizo weeeee poleni sana wanaume… mtakula kwa jasho mpk mufeBila bajeti sitoboi.
1. Vyakula vya mwezi unga, Mchele, mafuta ya Kula, sukari, maharage.
2. King'amuzi, umeme, ela ya taka, ulinzi shirikishi na maji ( kwa mwezi).
3. Mahitaji ya watoto kama nauli za shule, pampas na maziwa (monthly).
4. Vitui kama mkaa na gesi ni kwa miezi mitatu mara moja.
5. Matumizi yangu yangu ya lazima kama vile nauli na Kula nikiwa job. (Monthly)
6. Pesa ya kuacha home week days kwa ajili ya matumizi ya home km mboga na vitafunwa au matunda. (Monthly)
7. Mishahara hususani dada wa kazi (monthly)
8. Matumizi mengineyo home ya mama mtu na watoto kama vile kusuka n.k
9. Dharura.
Huo ndio mwongozo wangu wa mwezi. Hiyo bajeti inakula karibu asilimia 90 ya ninachokipata kwa mwezi.
Salon inategemea unasukaje wenginee ni kila baada ya mwezi kama ni nywele za hela au za mkono kwa wiki unasuka mara 2 uzuriOkay walau chakula inapangika....
Haya matumizi mengine, cosmetics nguo, saloon etc hii je? Unaipigiaje hesabu?
Mi sisuki sipendi kusuka, huwa nanyoaSalon inategemea unasukaje wenginee ni kila baada ya mwezi kama ni nywele za hela au za mkono kwa wiki unasuka mara 2 uzuri
siku hiz kuna style nzuri za natural hair
Swala la vipodozi sizani kama kila mwezi unanunua
Kwa mimi ambae sio mtu wa kujipamba sana nina skin care yangu nanunua kila baada ya miezi 5.. nguo sinaga bajet ikitokea nimependa basi nanunua sinaga siku maalumu ya kununua nguo
Ko wee mchoyo eti? Vibaya hivyo.Nilijua utaanza kuomba nauli ya kurudi Tz maana wabongo na nauli
Unanyoa mara ngapi kwa mwezi?Mi sisuki sipendi kusuka, huwa nanyoa
Sasa huwa unanyoa kila baada ya muda gani.. si nasikia mkinyoa huko hadi miezi 3 sijui mnawekwa niniMi sisuki sipendi kusuka, huwa nanyoa
Kabisa mkuu, kuandika kutarahisisha ujue hasa madhaifu yakoHii ndio hatua ya kwanza unayopaswa kufanya kabla ya kupanga bajeti. Andika Kila kitu unachonunua. Uzuri siku hizi Kuna apps zinazorahisisha Hilo. Baada ya mwezi au miwili tumia data hizo kupanga bajeti. Kumbuka bajeti ni Sheria, utofauti ni kwamba haijapangwa na bunge ni Sheria uliyojipangia mwenyewe. Itii. Bila budget sio rahisi kutoboa.
Zipo sehemu unashiba ila kula milo mitatu mgahawani ni kumaliza pesa kindeziMkuu mkweli chakula cha kununua kwanza kinamaliza pesa pia hushibi unakula ili usife
Nakupm bill
Usiwaze...Nakupm bill
Tufundishe na wengine hapa ndugu.Samahani naomba nicheki now pm tuongee jambo..
Hayo ndio mambo yangu mpaka nafikia sasa nakua millionea ni kwa sababu ya bajeti..
Kama upo seriously nichek nikufundishe kanuni moja inaitwa PERSONAL TRAINER KIT
Unakula mboga zisizo na nyanya?Kama muuzaji ana lipa namba,natumia hiyo,ila kama hana nikitoa pesa basi nitaweka note ili iwe rahisi,japokuwa kiukweli tokea nianze kuishi peke yangu almost miaka 4 sasa,sijawahi kununua nyanya
Karibu kwenye uzi wangu wa kupata pesa bila kuvuja jasho mkuuTufundishe na wengine hapa ndugu.
Ili ushibe utakvyo pesa yako itatumika sanaZipo sehemu unashiba ila kula milo mitatu mgahawani ni kumaliza pesa kindezi
Lete linkiKaribu kwenye uzi wangu wa kupata pesa bila kuvuja jasho mkuu
Kushiba sana ni harari kwa afya kwa mtu mzima. Kula wingi wa wastani tu.Ili ushibe utakvyo pesa yako itatumika sana
Sawa ila kupika mwenyewe ukala ni nzuri sanaKushiba sana ni harari kwa afya kwa mtu mzima. Kula wingi wa wastani tu.