Hatimaye leo umeleta uzi, nimekuzoea ukileta comments fupi fupiMa bro hamjambo.......
Hili jambo huwa linanitafakarisha sana, najaribu jaribu bajeti siku chache mara napoteana, ila kiukweli siku nnazoishi kwa bajeti naona kabisa matumizi ya pesa yanakuwa vizuri.
Bajeti namaanisha kuanzia eneo la chakula nyumbani, yani unapanga matumizi na kuishi ndani ha matumizi.
Baada ya hapo matumizi binafsi mwezi huu labda bajeti ya wanja, lipstic pochi ni kiasi flani na uishi humo. Hivi hii kitu inawezekana??? Kuna watu wanaishi na bajeti hivi labda hata mwezi???
Kama inawezekana nipo serious kabisa naomba mtu anifundishe hatua kwa hatua, ikibidi mtu aniandikie, kati ya vitu nnavyotamani sana kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu ni kuishi kwa bajeti ila sijafanikiwa π’
Natanguliza shukrani.
Nakuunga mkono mwanangu!!π€£π€£π€£ komaa hapo hapo mpaka Mayor Quimby aje akuchumbie akuoe akutunze!!!!Haya ndio mambo yananifanya niogope kuondoka nyumbani,.
Hela yangu tena nianze kuiwazia mara mchele, malage sijui nauli nini nini huko ...NEVERπΆ
OK tuachane na hayo ya misahafu ya kuletewa turudi kwenye uhalisia wa maisha ya mwanamke mwenye kipato anavyoweza kumnuinua mumewe kupitia kipato chake bila manunguniko au kuleta tafraniHalafu pia haya mambo ya misahafu au biblia kwanza zote zilitungwa au kuandikwa kwa kiasi kikubwa na wanaume na mfumo dume. Kwa hiyo wala sishangai mpaka sasa kuna nchi hawaruhusu mwanamke kwenda darasani. Kila mtu aamue maisha anayoona ni better kwake.
Walahi tena hapa siondoki labda wanifukuze na hicho ni kitu kisichowezekana,.Nakuunga mkono mwanangu!!π€£π€£π€£ komaa hapo hapo mpaka Mayor Quimby aje akuchumbie akuoe akutunze!!!!
Familia itakuwa kubwa, ili ufanye maendeleo, itabidi ubakiwe na angalau asilimia 30 ya kipato chako.Bila bajeti sitoboi.
1. Vyakula vya mwezi unga, Mchele, mafuta ya Kula, sukari, maharage.
2. King'amuzi, umeme, ela ya taka, ulinzi shirikishi na maji ( kwa mwezi).
3. Mahitaji ya watoto kama nauli za shule, pampas na maziwa (monthly).
4. Vitui kama mkaa na gesi ni kwa miezi mitatu mara moja.
5. Matumizi yangu yangu ya lazima kama vile nauli na Kula nikiwa job. (Monthly)
6. Pesa ya kuacha home week days kwa ajili ya matumizi ya home km mboga na vitafunwa au matunda. (Monthly)
7. Mishahara hususani dada wa kazi (monthly)
8. Matumizi mengineyo home ya mama mtu na watoto kama vile kusuka n.k
9. Dharura.
Huo ndio mwongozo wangu wa mwezi. Hiyo bajeti inakula karibu asilimia 90 ya ninachokipata kwa mwezi.
Siyo wanawake wote wanafanya hivyo kama ambavyo siyo wanaume wote wana-mistreat wake zao kwa sababu ya vipato vyao.OK tuachane na hayo ya misahafu ya kuletewa turudi kwenye uhalisia wa maisha ya mwanamke mwenye kipato anavyoweza kumnuinua mumewe kupitia kipato chake bila manunguniko au kuleta tafrani
Leta kipato chako kwa mwezi kiasi gani nikupigie hesabu hapa wee kenge....acha kuishi kihasara hasaraMa bro hamjambo.......
Hili jambo huwa linanitafakarisha sana, najaribu jaribu bajeti siku chache mara napoteana, ila kiukweli siku nnazoishi kwa bajeti naona kabisa matumizi ya pesa yanakuwa vizuri.
Bajeti namaanisha kuanzia eneo la chakula nyumbani, yani unapanga matumizi na kuishi ndani ha matumizi.
Baada ya hapo matumizi binafsi mwezi huu labda bajeti ya wanja, lipstic pochi ni kiasi flani na uishi humo. Hivi hii kitu inawezekana??? Kuna watu wanaishi na bajeti hivi labda hata mwezi???
Kama inawezekana nipo serious kabisa naomba mtu anifundishe hatua kwa hatua, ikibidi mtu aniandikie, kati ya vitu nnavyotamani sana kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu ni kuishi kwa bajeti ila sijafanikiwa π’
Natanguliza shukrani.
Na hakuna mzazi anafukuza mtoto wake wa kike nyumbani!!!π€£π€£π€£Walahi tena hapa siondoki labda wanifukuze na hicho ni kitu kisichowezekana,.
Kwa mabajet yenyewe kama haya, mie bado niko nao sana
Wewe utaenda kutafuta mbususu tu kenge wewe π€£π€£π€£Leta kipato chako kwa mwezi kiasi gani nikupigie hesabu hapa wee kenge....acha kuishi kihasara hasara
Wee 30% sii mchezo yaani milion ibakin300k hatari.Familia itakuwa kubwa, ili ufanye maendeleo, itabidi ubakiwe na angalau asilimia 30 ya kipato chako.
Wanakwambia eti mbususu aiuzwi wala sio bure. Wao ni super womanπ€£π€£π€£π€£Mataahira wengi humu ndani.
Mtoto wa kike kwenye ndoa sahihi na mwamaume sahihi hizo sio shida zako.
Tafuteni wanaume wa maana watoto wa kike hayo sio malalamiko yenu.
Hayo ni malalamiko ya mwanamke asiejitambua.
Mwanamme wa maana hata umzidi kipato hakai nyumba uliyojengs, ulaΕi njaa wala umsomeshei watoto.
Wanaume watakao ku support ujinga uliondika wewe dada ndio waliokufikisha hapo ulipo (useless)
Punguza savannah hizo weweInatoboa??? Yani ukipanga hii mfano tarehe 1 inafika 30?? Au hapo 20 unatafutana???
Ni hivi asizae na sakapoko. Haya malalamiko hayato mkuta huko mbeleni.Nakuunga mkono mwanangu!!π€£π€£π€£ komaa hapo hapo mpaka Mayor Quimby aje akuchumbie akuoe akutunze!!!!
Bahati iliyojeπππ,.Na hakuna mzazi anafukuza mtoto wake wa kike nyumbani!!!π€£π€£π€£
Endelea sana mwanangu, kwenye maombi yako niongeze na mimi kwa sababu kuna mwenzio ninaye hapa nyumbani πππBahati iliyojeπππ,.
Uanze kuamka asubuhi unawaza kuanzia vitafunwa mara mboga za mchana,.mara ving'amuzi mara Luku mara bill ya maji mara nauli hapohapo hujanunua nguo, mafuta ya kupaka bado ,. Ukiumwa pia ukajitibie Mwe!.
Mie wacha tu niendelee kuwaombea hawa wazee waishi miaka mingi,. Hili nitahakikisha nalifanya bila kuacha hata siku moja
Mpambanie sana huyo dadangu asiteseke kwakweliπ,.Endelea sana mwanangu, kwenye maombi yako niongeze na mimi kwa sababu kuna mwenzio ninaye hapa nyumbani πππ