Immortal Techniques
JF-Expert Member
- Aug 9, 2023
- 373
- 557
Ila kweli dah kama watu wanameba mabillion za wananchi alafu watu wanajaribu kupinga UFIDADI huu alafu Askari wanachapa watu Risasi hovyo na misharaha Yao ya nyanya askri polisi na wajitafakari sana waaache kutumika vibaya kuchota laana za mauaji wanaofaidi ni first class citizens ,kiukweli kazi za majeshi kwanza ukabali kutotumia ubongo / akili ndio ufanye.Sio wamekua hao ni mandezi wangekua na akili walipaswa kuchukua nchi hata kabla ya maandamano Kwa ULE ufisadi aliokua anaupost mange
Huyu kifo chake anastahili maana hakuongelea mabaya ya Magufuli. Hakutoa taarifa za ndani muhimu kama nani alimpiga risasi Tundu Lissu. Angekuwa na roho ya kutubu hituba yake ya kwanza ingekuwa katiba mpya. Mbadala yake alikuwa anapambana wabadilishe mgombea na waingie katika uchaguzi.System aliyokuwa anaisifia ndio iliyomuuua.
Kabisa naona kabisa Komondoo Augustine Polepole anaenda kupiga kwenye MSHONO.Yaan itabidi Kikwete achunge watoto wake na hivi ni wengi safari hii wameshika papaya
Kuna wanajeshi walioletwa kutoka Zanzibar wameshiriki sana kuua watu na nafikiri hii ilitokea baada ya hawa wa Tanganyika kusita kufanya mauaji.
[/QUOTPole pole was opportunistic,acheni avune alicho kipanda tuweke unafiki pembeni,Mimi sio mnafiki siwezi kutetea mtu ambaye anamwona Magufuli ni malaika. Polepole alitakiwa afuelezee tumefikaje hapa tulipo. Na ili kuokoa taifa CCM iondoke katika uongozi. Kushindwa kufanya hivyo kuuliwa kwake kuwe funzo kwa wengine.
Magufuli alikuwa autocratic/ kavuruga mfumo mzima wa utawala Bora na demkrasia ,kateka sana tu na kaumiza wengi to me one side is hero the other side is Villain,na ndiye katifikisha hapa manake aliuzia watu uoga Kwa kuteka na mwendelezo umeonekana ukisema maji ni Bora kuliko trillion 3 za kununua ndege kesho umepotea
Kwanini unafikiri unaweza kudanganya kuhusu issue kama hiyo.Asubuhi hii nimeona video ya huyu jamaa anasema yupo Tanzania na tarehe 9 wataanzia Masaki mpaka Mikocheni
Sasa najiuliza huyu jamaa ni mwanajeshi kweli wa NATO maana hata sijawahi kumuona na gwanda tena anajitambulisha Kwa cheo Cha canal au mkwara mbuzi tu maana maneno yamekuwa mengi sana wazee kuliko vitendo anajiita professional soldier
Nae apunguze kuongea sasa tunataka vitendo yeye asuke mpango aanzishe kikosi na silaha juu msituni kazi ianzeKabisa naona kabisa Komondoo Augustine Polepole anaenda kupiga kwenye MSHONO.
Ni jasiri wengine wangekaa kimyaKwanini unafikiri unaweza kudanganya kuhusu issue kama hiyo.
Yeye anaongea, anapigania kaka yake, mateka wote, kusitishwa mauaji utekaji.
Hiyo nayo ni hatua muhimu kila mtu kutoka hadharani kupinga uhuni wa wahuni kwa njia yoyote ile.
Kama SADC, UN, Mo Ibrahim, Mstaafu wa Botwana, Amnesty, EU, Gwajima Kanisa, TLS, jamii ya waugwana wote duniani.
Inasaidia nini kumfungulia uzi kumkejeli? Unafikiri ni kazi rahisi kupinga udhalimu Tanzania na ID, jina lako kamili?
Mama yake alivamiwa,dada yake akatekwa, mdogo wake yupo matekani. Jiweke kwenye nafasi yake.
Alivyosema masaki na mikocheni kuna nin sikuelewa hiyo codeKabisa naona kabisa Komondoo Augustine Polepole anaenda kupiga kwenye MSHONO.
Alivyosema masaki na mikocheni kuna nin sikuelewa hiyo code
Huwezi kujua anawaomba na kuongea na nini NATO, JWTZ. Kuna hatua kwa hatua za kufuata na kutoa ushahidi kabla ya kutuma vikosi vya NATO au USA, UK, France.Nae apunguze kuongea sasa tunataka vitendo yeye asuke mpango aanzishe kikosi na silaha juu msituni kazi ianze
Mkuu 'King Kong', nakumbuka jibu langu kwa bandiko lako mara ya mwisho halikuwa zuri; ndiyo maana nimeweka alama ya mshangao kwenye bandiko lako hili hapa!Kuna jamaa nilimwambia Kalamu kuhusu hiyo issue ya JWTZ wapo lockdown ,wanaotoka ni wale wenye kazi maalum tu na siku ya tukio kuna baadhi ya JWTZ waliwafamua ubongo magaidi wa ABDUL kwasababu walikuwa wanaua watu hovyo hovyo.
Hakuna kitu kinachoitwa ''mwanajeshi wa NATO''. NATO ni ushirika wa nchi nyingi na kila nchi inatoa wanajeshi wake kunapokuwa na jambo la kutekeleza.Asubuhi hii nimeona video ya huyu jamaa anasema yupo Tanzania na tarehe 9 wataanzia Masaki mpaka Mikocheni
Sasa najiuliza huyu jamaa ni mwanajeshi kweli wa NATO maana hata sijawahi kumuona na gwanda tena anajitambulisha Kwa cheo Cha canal au mkwara mbuzi tu maana maneno yamekuwa mengi sana wazee kuliko vitendo anajiita professional soldier
Naingilia mjadala ambao sijui umeanzia wapi; lakini hilo la NATO, tafadhali liondoe akilini, haliwezekani.Huwezi kujua anawaomba na kuongea na nini NATO, JWTZ. Kuna hatua kwa hatua za kufuata na kutoa ushahidi kabla ya kutuma vikosi vya NATO au USA, UK, France.
Anasikilizia kama Samia atasikia tahadhari.
Amewatisha tu unadhan hajui hawatakuwepo hapo home nadhan kamaanisha kuwa anaweza lipiza kisasi kwa wanae muda wowoteAnapokaa Mshika Remote JAH-CAR-HIRE.
YapHuwezi kujua anawaomba na kuongea na nini NATO, JWTZ. Kuna hatua kwa hatua za kufuata na kutoa ushahidi kabla ya kutuma vikosi vya NATO au USA, UK, France.
Anasikilizia kama Samia atasikia tahadhari. Sidhani kama atakuwa Bwege kama wengi hapa mtandaoni JF wanavyofikiri. Huwezi kumwaga mchele kwenye kuku wengi.
[emoji23][emoji23]Muhaini amevaa kanga Moko hahahaha.mambo ni mengi nchi hii kwani hujaona wahaini nchi hii wanapelekwa mahakamani wakiwa na vijora
Sijui kwa nini waTanzania tunarudi kinyumenyume kiasi hiki katika uelewa wa mambo mengi ya kidunia. Ingetegemewa kwamba mtu anayeweza kuingia JF na kuandika maoni yake angeweza kufahamu jambo la namna hii kabla hata ya kulizungumzia; au hata kutafuta taarifa juu yake harakaharaka!Hakuna kitu kinachoitwa ''mwanajeshi wa NATO''. NATO ni ushirika wa nchi nyingi na kila nchi inatoa wanajeshi wake kunapokuwa na jambo la kutekeleza.
Amewatisha tu unadhan hajui hawatakuwepo hapo home nadhan kamaanisha kuwa anaweza lipiza kisasi kwa wanae muda wowote
Ila Mange..... Jinga lingine hili huku limezoa mavi kwa mikono na limelamba kabisaKuna loading>>>>>> inakuja tanzania unajua mpaka sasa mkuu wa majeshi na alichofanya nyerere kambi za jeshi kutotambuana ndio kinamfanya samuya na mkuu wa majeshi kuishi dodoma
Kuna covert operation nyingi duniani zinafanywa na wanachama wa NAT0 kama UK, USA, France. Elewa tunaposema NATO ni umbrella organisation.Naingilia mjadala ambao sijui umeanzia wapi; lakini hilo la NATO, tafadhali liondoe akilini, haliwezekani.
Hii ni kazi yetu sisi wenyewe, ni lazima tujipange kuifanya na kuikamilisha; kama ilivyo kwa maswala mengine yooote yanayo husu nchi yetu.