Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
CCM wanahusika vipi na hii picha?
Kama wasemavyo watu kuwa a picture says a lot. Unajuwa CCM wao wana wazidi ujanja Chadema kwa mbinu kama hizi. Walalahoi siku zote kwao chakula ni issue na CCM wanajuwa kuwa vijijini watu wana njaa hivyo njia ya uhakika ya kuwarubuni ni kuwapikia wali na maharage yaliyooza. Mlalahoi na vitu vya dezo ni sawa na muislam na wali.
wapinzani tunatakiwa tuwe kitu kimoja na sio kubaguana. ndo maana leo naichukia chadema ya wahafidhina real kutoka moyoni kwa dhambi hii waliyoifanya. popote pale duniani ubaguzi haujawahi leta tija zaidi ya mifarakano.
na tatizo lenu kubwa mnajiona sana kuwa nyie ndo kila kitu, sasa ni nani huyo mjinga/-------- anayeweza kuwaamini. hebu jiulize, kusafirisha watu wakulinda kura kutoka arusha mpaka iringa. hivi wanairinga wanajisikiaje? kama hata hamuwaamini wao wenyewe kulinda kura walizopiga wao watawaamini vipi nyie msiowaamini? fikiria na kwa pamoja tukatae ubaguzi.
Kama wasemavyo watu kuwa a picture says a lot. Unajuwa CCM wao wana wazidi ujanja Chadema kwa mbinu kama hizi. Walalahoi siku zote kwao chakula ni issue na CCM wanajuwa kuwa vijijini watu wana njaa hivyo njia ya uhakika ya kuwarubuni ni kuwapikia wali na maharage yaliyooza. Mlalahoi na vitu vya dezo ni sawa na muislam na wali.
...Au mkiristo na gongo (damu ya yesu).
Kumbe na waislam nao wanakunywa damu ya Yesu?
huwezi kuitenganisha bavicha na matusi. they are synonymous. period. and you are very vivid evidence.Wewe huna akili na umelogwa na aliyekuloga aliachiwa laana sasa inakutafuna maana alishakufa. Go to hell
mkuu analysis yako inamashaka. sio kweli ccm inapendwa na sehemu zote zenye shida. mfano huko kusini walikataliwa siku nyingi na CUF ina nguvu sana huko ial wanashinda kwa hila kama sio wizi. hata huko kilimanjaro chadema bado wamezidiwa tu na ccm kwa idadi ya wabunge. mfano, ndesa yupo moshi mjini lakini vijijini ni mbunge wa ccm. kama huijui moshi unaweza kusema huko ni vijijini lakini kwa sisi tuliowahi kuishi huko ni hapo hapo moshi. au leo hii unataka kuniambia kuwa pale mbulu kwa akunaay wameelimika sana? au sehemu watakapowapigia chadema ndo kigezo cha kuelemika? hueleweki mkuu na hii analysis yenu uchwara.Njoo kwenye hoja, kwa nini ccm inapendwa sana sehemu zisizoendelea mf kielimu, kiafya, kiuchumi nk?
unajua hawa wapuuzi tangia washindwe kule kalenga pamoja na kupeleka chopa ni kama vile wamechanganyikiwa. tunajua walikuwa na matarajio makubwa sana na jimbo la kalenga, walichofanya wanakalenga kimewashangaza. kimewashangaza kwa sababu ya aina ya watu walioko huko. Na wao wamewashitukia kuwa hawa jamaa ni wajasiria mali tu hamna lolote (many thanks kwa wanakalenga). ukiona hata michango yao baada ya ule uchaguzi ni kama vile wamevurugwa vile. na wengine wamepotea kabisa, hata ule wimbo wao wakuibiwa kuwa haupo tena. siunaona hata zile mbwembwe hazipo tena. unasikia chochote hata kuhusu chalinze? wanajiuliza kama kalenga ilikuwa vile je huko chalinze ambapo hata wangeshinda kalenga bado ingekuwa ngumu itakuwaje? pia na aina ya jamii iliyopo pale? watanzania wamewashitukia kuwa washikaji ni walaghai tu.Nilisoma kwa makini nikidhani ni mtu makini kumbe Abunuasi!!
Walewale, mtalaaniwa na Mungu kwa wizi na kuwafanya Watanzania matahila!!