Hivi kwanini wanawake wa kichaga ni walevi sana?

Hawana sexual appeal
 
Nafikiri unywaji wa pombe ni asili yao (Mbege).
Wanaendeleza kile walichokikuta + Uhuru wa kipato(Wanawake wengi wa kichaga wanajitafutia chapaa pasipo kusubiri waletewe.

Pesa ya kuomba akanywe pombe nani atakayempatia hiyo pesa kila anapohitaji? Si ndo kuishia kuwa manzi wa wanywa pombe/walevi.
 
Kwanza wanawake wa kichaga huwaga sio kwamba wanawahi wanaume wenye pesa..sababu wao wenyewe ni watafutaji wazuri
Familia nyingi za uchagani ni standard life , sasa ukiwa kanjanja apeche alolo kabisa , lazima mwanamke wakichaga akupotezee, unakuta hata baba yake kakuzidi sasa akupeleke wapi hauwezi kuwapa hata wazee wa kichaga chakula🍻?
 
Unashangaza mno,, pombe ni kitu cha kushangaa??

Baadhi ya vitu ni hulka na mazingira ya wahusika

Acha kushoiya una hati babanguuuu
Watu wa porini wakiona mtu anakunywa pombe wao wanashangaa mno, kuna kijiji huko kigoma nilikua naagiza bia kutoka mjini , wakinikuta nakula zangu monde walikua wanashangaa mno
 
Familia nyingi za uchagani ni standard life , sasa ukiwa kanjanja apeche alolo kabisa , lazima mwanamke wakichaga akupotezee, unakuta hata baba yake kakuzidi sasa akupeleke wapi hauwezi kuwapa hata wazee wa kichaga chakula🍻?
Sasa nawapaje chakula nawao ni standard life??...uhalisia wa standard life ni kweli kaskazini hakuna njaa kali
..ila kuhusu mabinti wa kichaga kuliwa mbona easy tu..ila mimi siwez sababu hawana makalio..hilo tu
 
πŸ˜… wapi uliwahi ona mwenye kipara fala ?
Hakuna..kiukweli sio mafala..na wanaume wote nnaowajua waliooa wanawake wa kichaga wakiwa hawana kitu au mqli kidogo..basi mali zimeongezeka...ugomvi wangu na wanawake wa kichaga ni wao kupigwa pasi ..hilo tu
 
Familia nyingi za uchagani ni standard life , sasa ukiwa kanjanja apeche alolo kabisa , lazima mwanamke wakichaga akupotezee, unakuta hata baba yake kakuzidi sasa akupeleke wapi hauwezi kuwapa hata wazee wa kichaga chakula🍻?
Mi nadhani sio sababu ya ustandard, kwa sababu wanawake wenye hela sio Wachaga peke Yao.
Nadhani ni Asili ya kutukuza pombe inaanzia kwenye mizizi ya familia
 
Hakuna..kiukweli sio mafala..na wanaume wote nnaowajua waliooa wanawake wa kichaga wakiwa hawana kitu au mqli kidogo..basi mali zimeongezeka...ugomvi wangu na wanawake wa kichaga ni wao kupigwa pasi ..hilo tu
Hawa china china?πŸ˜‚πŸ˜‚ Mmeshamsahau Kweka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…