Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Walikushangaa Jinsi unavyo abudu pombe, yaani inafika mahali pombe zinakuendeshaWatu wa porini wakiona mtu anakunywa pombe wao wanashangaa mno, kuna kijiji huko kigoma nilikua naagiza bia kutoka mjini , wakinikuta nakula zangu monde walikua wanashangaa mno
Na waliomba msaada , hivyo wote tulishangaana๐Walikushangaa Jinsi unavyo abudu pombe, yaani inafika mahali pombe zinakuendesha
HahahaNa waliomba msaada , hivyo wote tulishangaana๐
Pombe sio tatizo letu, tatizo letu ni zao la kahawa kushuka bei tu, hayo mengine tumewachia nyie ๐Mi nadhani sio sababu ya ustandard, kwa sababu wanawake wenye hela sio Wachaga peke Yao.
Nadhani ni Asili ya kutukuza pombe inaanzia kwenye mizizi ya familia
AsanteMtu yeyote anayejua kutafuta hela anakunywa mvinyo dk ******* amesema mwanamke anywe tatu mwanaume nne. Acha kufuatilia maisha ya wanawake mkuu watakuja kukula hilo donat hapo kwa back
HahahaPombe sio tatizo letu, tatizo letu ni zao la kahawa kushuka bei tu, hayo mengine tumewachia nyie ๐
Uzi huu Wachaga mmepanicMtu yeyote anayejua kutafuta hela anakunywa mvinyo dk ******* amesema mwanamke anywe tatu mwanaume nne. Acha kufuatilia maisha ya wanawake mkuu watakuja kukula hilo donat hapo kwa back
Ni mazoea kutoka zama za mababu zao kama ambavyo kuna koo ni wachawi au wasengenyaji.HALAFU,kulewa ni kazi ngumu inayohitaji hela na akili nyingi (achana na wanaogongea/kudoea).Kama ni rahisi tu,hebu na wewe jaribu.
Aaaah uzi ufungwe huu wachangiaji wote tukanywe biaWana akili sana sana, huwezi kukuta mwanamke mlevi ambaye hana akili.
wewe unakunywa?Acha kumdanganya.Kwani ni wanawake wa kichaga tu ndiyo hunywa pombe nchini mwenu?
Tunashangaa wewe mndengereko unafuatilia maisha ya dada zakoUzi huu Wachaga mmepanic
Shida ndipo inaanzia, Mama single Maza, watoto single mazaBaba zao wapo?
Mnajifariji๐๐๐Aaaah uzi ufungwe huu wachangiaji wote tukanywe bia
Maji hufwata mkondo nashangaa mtu ana toa mahari kubwa uko uchagani af kesho mwanaume una uliwa na uyoyo mwanamke kisa mali ulizo zitengeneza wabinafsi sanaShida ndipo inaanzia, Mama single Maza, watoto single maza
wao hawawezi kujitafutia?Familia nyingi za uchagani ni standard life , sasa ukiwa kanjanja apeche alolo kabisa , lazima mwanamke wakichaga akupotezee, unakuta hata baba yake kakuzidi sasa akupeleke wapi hauwezi kuwapa hata wazee wa kichaga chakula๐ป?
๐คฃ๐ ๐๐๐๐๐Wengine hawatongozeki hawana haiba ya kike, Yes unakuta ni mzuri anvutia Ile ukiweka ukaribu naye unaona kama uko na mwanaume mwenzio, hawana mahaba, naweza kusema ni kundi kubwa namba moja Nchini kwa kupigwa vibuti na kutelekezwa. Hivyo pombe inabaki kuwa faraja yao