Hivi, kweli kabisa Vyombo vya Ulinzi na Usalama waliamini Polepole yuko Tanzania?

kwa sasa wanannchi wanaogopa polisi na kituo cha polisi kuliko hata walivyokuwa wanaogopa majambazi ya kuvunja nyumba na kuiba, kuliko hata panya road manake hao wanaweza kukuvamia wakapora vitu ukabaki salama. polisi pamebadilika, sio kimbilio la usalama tena. huu ndio ukweli mchungu. manake watu wanapotea, halafu mulilo anakuja kutoa matangazo ya utani.
 
magu alifunga kanisa gani? bianfsi samia akifungua makanisa naweza kumvumilia kwa sababu kuna mengi mazuri kafanya. ila kama anafunga makanisa sioni kama ana faida kwangu. pia, kati yangu mimi ninayedai haki ya kuabudu, na wewe unayeniida mbwa kwa sababu nadai ibada, nani mdini? kati ya anayeomba apate nafasi ya kuabudu na anayefunga makanisa nani mdini? akili zako ni kama za mbwa jike ambaye hata hajui nani alimzalisha. mwisho wenu utafika tu.
 
Wasiojulikana wamejulikana kwa dada yake Polepole
 
Naomba link kitabu Jay Z ni mtu sana ukiacha umasonia wake mtu smart sana
 
Nyerere baada ya kutoka kwenye urais alianza kua Mpinzani Nyerere mpaka Sasa angekuopo angekua chadema ya Lissu trust me
 
Nahisi Pole Pole aliweka simu hewani kwa namba wanayoijua watekaji then wakawa wameitrack wakijua Pole Pole yupo bahari beach kumbe wameingia kwenye mtego.

Jamaa manyumbu sana wakaingia kwenye mtego wa panya
 
Tunakoelekea sio kuzur Aisee
 
Hadi october 2025 tutashuhudia mengi.muhimu ni kuomba uzima na bando.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…