MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 4,555
- 6,773
Ndio nimekuuliza unauhakika Gani Kila mtu asieoa anaangaika na maisha hapa duniani upo moyoni mwao?Unaachaje kuoa kama umetimia mtu mme alooh!.. unahangaika na maisha kisa nini?
Unaishi Ili kusubiri kifo uoe usioe utakufa tu kikubwa ni kuishi na kuinjoy lifeSASA Unaishi ili uifanyie nini Dunia hii? Acheni theories za kitoto. Hakuna jambo lilo chini ya Dunia likakosa changamoto.
Huo ulazima unatoka wapi?Ukiwa Mwanamke mwenye afya njema, huna matatizo ya kibailojia same to men kuoa/kuolewa ni lazima ndiko uanamke na uanaume huheshimikia. Hizi kauli zingine ni faraja tu lakin kuoa na kuolewa ni lazima.
Sio lazima kijana usikalili, huko kukamilika kukoje??Ukiwa Mwanamke mwenye afya njema, huna matatizo ya kibailojia same to men kuoa/kuolewa ni lazima ndiko uanamke na uanaume huheshimikia. Hizi kauli zingine ni faraja tu lakin kuoa na kuolewa ni lazima.
Aaachaaa!!😮Watu wa hivo wanakuaga wameacha watoto vijijini 😁
Nani alijua masogange ana mtoto?!! Tulikuja kumjua msibani.
Watu wanaacha watoto bush huko wanakuja mjini kuanza upyaAaachaaa!!😮
KweliSjui hata wanadamu wa kitanzania wanakuwaga na nn, utasikia mtu anakuuliza kwa mshangao kheee! Hujaolewa!? Huna mtoto!? Unasubiri nn?!
Bila kujua hizo ni zawadi kuna kupata na kukosa, na zaid sana kila mtu anauhuru wa kufanya mipango na kutimiza malengo yake kivyake vyake muhimu havunji amani ya nchi.
Hii inasikitisha na kuboa pia.Watu wanaacha watoto bush huko wanakuja mjini kuanza upya
Unachokwepa nini?Sio lazima kijana usikalili, huko kukamilika kukoje??
Kama ni mizagamua alie nje ya ndoa nae anazagamua vyedi tu, akitaka kuishi na ke imfanyie kila anavhofanyiwa mume anapata chap tu.
Hahaha swadakta
Toa neno docta.Kila mtu na maisha yake,
😃😂 Mnataka kula wakee za watu waliopendezeshwa... Mnaogopa MAJUKUM vijana.Huo ulazima unatoka wapi?
Au unafanya mtazamo wako kuwa lazima kwa kila mtu?
😂😂Tutawawekea mikaa kule maeneo... Utetezi huu...Unaishi Ili kusubiri kifo uoe usioe utakufa tu kikubwa ni kuishi na kuinjoy life
Mkaa utaweka vipi wakati utakua umeshakufa😂😂Tutawawekea mikaa kule maeneo... Utetezi huu...
Hoja ya msingi ni "kwanini huoi km una afya njema". Na mbona haya yanatikea za hizi kuliko zama za baba/babu zetu.Ndio nimekuuliza unauhakika Gani Kila mtu asieoa anaangaika na maisha hapa duniani upo moyoni mwao?
😃Ukishakufa jamii tukajua ulikuwa Dunia hii undhurura tu huna mtoto,mke tunakutupia mkaa ulajibu huko.Mkaa utaweka vipi wakati utakua umeshakufa
Kweli muafrica ni nyani na hapa ndio nimethibitisha wazungu wako sahihi😃Ukishakufa jamii tukajua ulikuwa Dunia hii undhurura tu huna mtoto,mke tunakutupia mkaa ulajibu huko.