Kabisa. Na ukifuatilia wanaume ambao umri umekwenda na hawajaoa/familia utagundua kasoro ya kimwili au tabia, vilevile kwa wadada.Mwanaume asipoa atakuwa ana mapungufu, mwanamke asipoolewa atakuwa mapungufu.... Kama huna mapungufu huwezi kuacha kuoa/kuolewa!.
Muafrica ni nyani na hapa ndio nathibitisha wazungu wako sahihiKabisa. Na ukifuatilia wanaume ambao umri umekwenda na hawajaoa/familia utagundua kasoro ya kimwili au tabia, vilevile kwa wadada.
Halafu ndio hawa humu wana comment kwa hasari hao
Na ww ni sehem ya huo unyani? 😃😃Kweli muafrica ni nyani na hapa ndio nimethibitisha wazungu wako sahihi
Mbona wewe huna utajiri kama bakheresa?Naona kama umri umeshasonga sana vile. Au yeye ni mdogo kwa Celebrities wengine kama Zamaradi nk
majukum na most of them n vijana waliozoea kulelewa.Kabisa. Na ukifuatilia wanaume ambao umri umekwenda na hawajaoa/familia utagundua kasoro ya kimwili au tabia, vilevile kwa wadada.
Halafu ndio hawa humu wana comment kwa hasari hao
Nyani kawaida yake ni kufuata Kila kitu anachokifanya mwenzie Sasa hapo ndio utajua kama Mimi na wewe nani nyani sitokujibu tena hii comment ya mwishoNa ww ni sehem ya huo unyani? 😃😃
Nyani kawaida yake ni kufuata Kila kitu anachokifanya mwenzie Sasa hapo ndio utajua kaam Mimi na wewe nani nyani sitokujibu tena hii comment ya mwisho
Nakumbuka kuwa niliambiwa watoto tulivyo kuwa wadogo tulikuwa na mfanano sawa karibu kwa kila kitu.Toa neno docta.
Akuige we baninyo 😂.... Salama mjini kitambo
Alinikuta Mimi nikamweleza hasara za ndoa so unavyomwona hajaolewa basi tambua ya kuwa Mimi ndo kisababishi.Akuige we baninyo 😂.... Salama mjini kitambo
namkubali sana, bado ni mpya hajawahi mjua mwanaume, anaona mahusiano yamejaa mapichapicha tuNaona kama umri umeshasonga sana vile. Au yeye ni mdogo kwa Celebrities wengine kama Zamaradi nk
Ase lile tako la masogange mchwa washalimaliza saivi, mavumbini imetimia😐Watu wa hivo wanakuaga wameacha watoto vijijini 😁
Nani alijua masogange ana mtoto?!! Tulikuja kumjua msibani.
Duh wabongo mnajua kuzushia watuShe,male ana jinsia mbili nasikiaga
Dada alikua na wowowo la haja yani, vijana wakalifakamia hadi wakaliunguzaAse lile tako la masogange mchwa washalimaliza saivi, mavumbini imetimia😐
Ebu kijana oa acha kuamini watu mtandaoni humu utaumia shauri yako,Alinikuta Mimi nikamweleza hasara za ndoa so unavyomwona hajaolewa basi tambua ya kuwa Mimi ndo kisababishi.
Naomba usimlaumu salama kwa kutoolewa bali nilaumu Mimi.
Mimi siwaamini watu bali watu wananiamini Mimi.Ebu kijana oa acha kuamini watu mtandaoni humu utaumia shauri yako,
Nakunukuu.Nakumbuka kuwa niliambiwa watoto tulivyo kuwa wadogo tulikuwa na mfanano sawa karibu kwa kila kitu.
Kadri siku zinapozidi kwenda mbele kila mtoto ataonyesha tabia yake halisi kwa mzazi au mtu mdadisi ataweza kumtambua.
Miaka inavyokatika napo mtoto au watoto wale wale kila mmoja atakuwa na chaguo lake, tofauti na mwenzie hapo ndipo kila mmoja ataweka nguvu na jitihada kupata kile anachokiamni kuwa siku moja atakipata.
Ukumbuke wakati huo huo kila mtoto ana bahati yake na nyota yake kwenye kila kitu maishani mwake.
Sasa kwa umri huu nilionao siwezi mlaumu bibiye mbona Hana mtoto wala mume, sio kazi yangu ikiwa Nina mambo mengi nikiwa mdg nilitamani niyafanikishe na umri huu wa 20+ lakini sina hata moja.
Pengine hata yeye anatamani kuwa na mume au mtoto hatuwezi jua changamoto anazokumbana nazo, na sio mtu wa kuweka maisha yake hadharani.
Wakati mwingine angekuwa ndugu yako au rafiki akikuomba msaada labda sipati mtoto au kila mwanaume anayekuja kwangu anakimbia hapo unaweza mshauri au kumsaidia unavyo ona inafaa,
Ila kuamka na kumzungumzia mtu hivi mara vile aseeh ni kazi ya kutwanga maji kwenye kinu wanasema,
Tufanye lililo letu tuachane na maisha ya watu.