Hivi mnajua tafsiri ya Mwanaume au mnajitamba kujiita wanaume tu

Toka tumeanza kusoma kindergarten leo uneongea point.

Watu walishaona kuoa ndio kama mafanikio makubwa maishani, hata paka ina familia, watoto na mke.
 
Kuwa na watoto ambao hata hujui wanashindaje na huwatunzi kwa 100% bado sio majukumu tosha. Na hapo ukute una miaka 25 au zaid..
Wengine at 25 tayar tuna watoto na kuoa kwa ndoa tushaoa.
Unajuaje hawatunzi? Kuoa ni ushamba flani hivi wa kizamani ni jambo ambalo linaanza kupitwa na wakati .
Cha muhimu sasa ni kuzaa watoto kuwatunza basi inatosha .
Kuoa ni ujinga tu flani.
Ndio maana ni muda mrefu sichangiagi sherehe za harusi hata za ndugu na marafiki
 
Umekosea kuniquote au ??
Sijaandika mambo ya kuoa hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…