Marcy
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 2,430
- 5,910
pOle sana ila kuna kusahau huwez baki hivyo lazima utatafuta mwenza wa kubadilishana mawazo ndani nyumba siunajua upweke sio na uzee ndio unapiga hodi🤣🤣🤣🤣Ndio , mpaka nikimwambia mama yangu kwa sasa sitaoa kwanza ,akikumbuka huwa hana la kusema🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣