Hivi mtu mwenye akili timamu unasemaje ardhi ni mali wakati unafukia pesa huu ni ukichaa

Unashauri nini kiongozi? watu waache kujenga wote tukapange au?πŸ˜‡πŸ€”sijakupata.
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€do you know how real-estate value appreciate????
Africa hasahasa nchi zetu hizi kuna speculation tu sio appreciation.Magumashi mengi sana, information asymetry imetawala soko
 
Hujui lolote kuhusu ardhi wewe,nilinunua eneo mwaka 2005 kwa laki 6,2022 nimekata viwanja saba kila kiwanja niliuza 15m,unaijua ardhi wewe?au hujapata faida yake,tuache
 
Hujui lolote kuhusu ardhi wewe,nilinunua eneo mwaka 2005 kwa laki 6,2022 nimekata viwanja saba kila kiwanja niliuza 15m,unaijua ardhi wewe?au hujapata faida yake,tuache
Haaahaa huyu ni junior amekalia kochi alilonunua babake apo kaachiwa simu achezee anangoja mechi ya simba na kmc 🀣🀣🀣
 
Atakuwa bado yupo kwao, hivi viwanja vya laki moja na laki 2, kuna watu wamenunua na kuweka makazi tayari wanaishi haijarishi ni porini vipi mtu katoka Dodoma kaja kutafuta maisha . Akikua ataacha
 
Kwani ndugu hizi material things ni kweli zina umuhimu kwa kila mtu
 
Mleta mada unaelewa maana ya Mali(Asset)?
Unaelewa maana ya Appreciation? Unajua kama ardhi inakufanya ukopesheke?
Kama una Deni songesha au mpower hukopesheki ...nankama huna cash flow bank statement hukopesheki..
 
Ardhi ni mali mkuu ina appreciate very fast na kizazi chako kitaendelea kutajirika only kama uliwwkeza kwenye ardhi
Nakupa mfano, mikocheni kuna jamaa yangu alinunua 10m miaka ya 90 sasahivi as we speak ile sehemu imekuwa invested na gorofa worth 20 billions so as we speak yeye ni billionaire from 10m investment only
HAta kwenye dini tumeambiwa tuwekeze kwenye ardhi mungu sio mjinga kusema hivyo
HUonagi makanisa wananunua maviwanja makubwa huko porini kwa bei karibu na bure ila in few years nyie ndio mnaenda kuweka mji na wao ndio wanakuwa na ardhi kubwa kwa eneo husika
Nakupa mfano mwingine, hapa mbezi beach ya chini mwaka 2001 tu kuna jamaa yupo ulaya alinunua kiwanja 30m sasahivi ile sehemu watu wamefika 400m ingawa hauzi anajenga apartments
Wekeza kwwnye ardhi hata porini nunua tu
 
Chifu kwahyo tusinunue ist za kwendea kazini?
 
Chifu kwahyo tusinunue ist za kwendea kazini?
 
Mimi nitakuona una akili siku ukianza kulala nje huku umeshikilia maburungutu yako ya pesa au nikikuona unalala nje huku umeshikilia slip za benki ila kama unalala ndani kwenye nyumba walizojenga wenzako ambao unawacheka basi itoshe kusema huu uzi ni useless.
 
Mpaka mbu umegundua nyumba ni muhimu basi Uzi ufungwe,hamna namna
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€do you know how real-estate value appreciate????
Hajui huyo,mimi miaka 10 iliyopita kuna mahali ndani ya Dar nilinunua kiwanja cha kujenga nyumba moja kwa milioni 4.
Sasa hivi kwenye location hiyo hiyo kiwanja kama hicho watu wanauza kwa milioni 30 tena hadi najilaumu kwa nini nilinunua kiwanja kimoja tu ina maana ningenunua viwanja 5 sasa hivi ningeweza kuviuza vyote kwa thamani ya milioni 150.
Sasa ni bidhaa gani nyingine ambayo baada ya miaka hiyo bei inapanda mara 10 yake bila kutumia costs zozote baada ya manunuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…