Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Huwa nashangaa mtu anapata wapi ujasiri wa kujenga nyumba kwenye ardhi aliyopewa na wazazi wake Ili aishi na familia yake yaani Kila siku ukiamka unamuona mzee wako na mama Yako hata uhuru hamna aisee nashangaaga sana watu wa aina hii halafu unakuta ukifa familia yako inaporwa nyumba na ndugu Kwa kisingizio umejengea nyumbani watoto wako wanateseka