U
Usiangalie alipojenga babayako hapo alipohesabiwa hatua 17 ×17 hawezi kukugawia ardhi wakati hana nyingine zaidi ya hiyo tembea dogo uone familia zinamiliki hadi heka 100,mzazi kukupa heka 10 haoni hatari kuna ubaya gani ukijenga na kuanzisha familia hapo?
Huku mjini tunaishi ki selfish ndio maana we unaona ajabu mtu kujenga kwenye ardhi ya wazaziwake.
Kuna waziri mmoja professor mstaafu karudi kwenye mji aliopewa na baba yake na anaendeleza shughuli zake hapo hana noma wala nini,sasa wewe umetoka familia ya kimaskini wa ardhi unashangaa mtu kujenga kwenye ardhi ya wazazi wake,wewe huwezi kujenga kwa wazaziwako sababu walininua ardhi kwa kuhesabiwa hatua wakaishia kujenga nyumba ya vyumba vitatu.