Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Kuna watu wanajenga ukweni mkuuKujenga kwenu si mbaya wal hakuna ubaya wowote
Mbaya ni Kujenga ukweni
Ardhi wajenge nyumba zao wapangishe ila sio Mimi kuishi hapoUmeishi nao tangu unazaliwa unashindwaje sasa hivi , au unataka hiyo ardhi apewe nani ?
Bora ununue kiwanja ujengeKuliko Kujenga Kwenye Kiwanja cha Mwanamke ni mara 100k ujenge kwenu
Kwani mi muarabu nifanye hivoWe unaweza
Ambapo huo mfano wako, hata ungejenga umbali wa 1000km na uishi na mkeo tu, bado usingeweza kubadili mademu hapo nyumbani kwenu.Hamna mkuu Kuna uhuru Fulani hivi unaukosa tofauti na mkeo yaani hata kubadilisha mademu ubadilishi Kwa kuhofia wazee watakuonaje huu ni mfano tu
Kwa andiko hili inaonyesha we bado akili haijakomaa, kama ndo unawaza kubadili mademu eti wazazi wataluonajeHamna mkuu Kuna uhuru Fulani hivi unaukosa tofauti na mkeo yaani hata kubadilisha mademu ubadilishi Kwa kuhofia wazee watakuonaje huu ni mfano tu
We unawezaUshasema wazazi.
Hio bangi imechanganywa na mavi kabisa hili povu acha niliteme tu tpweeh...
Ukisema kuishi unamaanisha nini kwamba ulikua umekufa kipindi unakaa hapo?Ardhi wajenge nyumba zao wapangishe ila sio Mimi kuishi hapo
Kwani mimi ndio role model?We bado upo kwenu
Kwahiyo mkuu we unaweza fanya umalaya mbele ya wazee wako yaani Kila siku demu mpyaKwa andiko hili inaonyesha we bado akili haijakomaa, kama ndo unawaza kubadili mademu eti wazazi wataluonaje
Nijibu tu we bado upo kwenuKwani mimi ndio role model?
nini shida hapo kiwanja ekari20+ unaenda kujenga kwingine unatafuta niniWe unaweza
Duuh sawa ila Mimi siwezinini shida hapo kiwanja ekari20+ unaenda kujenga kwingine unatafuta nini
vizuri sasa usilazimishe kila mtu awe kama wewe...wengine ukoo mzima upo kijiji kimoja kitongoji kimoja unaambiwa huu mtaa wote wa ukoo wa kina mzee ole sabai.Duuh sawa ila Mimi siwezi
Hiyo kalivizuri sasa usilazimishe kila mtu awe kama wewe...wengine ukoo mzima upo kijiji kimoja kitongoji kimoja unaambiwa huu mtaa wote wa ukoo wa kina mzee ole sabai.