Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Waarabu ndo zao hizoHuwa nashangaa mtu anapata wapi mtu anaujasiri Gani kujenga nyumba kwenye ardhi aliyopewa na wazazi wake Ili aishi na familia yake yaani Kila siku ukiamka unamuona mzee wako na maa Yako hata uhuru hamna aisee nashangaaga sana watu wa aina hii halafu unakuta ukifa familia yako inaporwa nyumba na ndugu Kwa kisingizio umejengea nyumbani watoto wako wanateseka
We unawezaWaarabu ndo zao hizo
Sawa mkuuMimi hata kujenga sina mpango naona huu uzi haunihusu kabisa
Bora huyu wa kwa wazazi wake,Ukweni!Huwa nashangaa mtu anapata wapi ujasiri wa kujenga nyumba kwenye ardhi aliyopewa na wazazi wake Ili aishi na familia yake yaani Kila siku ukiamka unamuona mzee wako na mama Yako hata uhuru hamna aisee nashangaaga sana watu wa aina hii halafu unakuta ukifa familia yako inaporwa nyumba na ndugu Kwa kisingizio umejengea nyumbani watoto wako wanateseka
Kwahiyo we miaka Yako yote unaamka wazazi unawaona si Bora ukae nao nyumba Moja ijulikane upo Kwa wazazi tuMkuu mi naona wewe kama sio 27 kushuka chini au ni basi tu una utoto mwingi kama wewe ni mtu mzima.
Ardhi ya wazazi ni kama ardhi ya wwngine
Unaweza kuwa offered kiwanja na baba yako, utakaataa?
Kunaweza kutokea ipo nafasi kubwa , na wazazi wako hawapo, hautajennga?
Maisha hayana formula, inapotokea fursa unapaswa kuitumia ila ukileta uzungu sana, utabeba mabox sanaa
Kuna shida gani kama ukiamka na wazazi wako ?Kwahiyo we miaka Yako yote unaamka wazazi unawaona si Bora ukae nao nyumba Moja ijulikane upo Kwa wazazi tu
Na ndio maisha yanapaswa kuwa hivyo. Hakuna haja ya kujenga jenga nyumba kila mtu ilhali mngeweza kujenga mjengo mmoja mkali na familia zote zikaishi hapo, kama alivyosema Covax kuwa waarabu ndio zao.Kwahiyo we miaka Yako yote unaamka wazazi unawaona si Bora ukae nao nyumba Moja ijulikane upo Kwa wazazi tu
Utoto unao wewe unaekaa na wazazi miaka yote ndio nyie mnavizia mkikosa hela ya msosi mnaingia ndani Kwa wazazi kuangalia msosi wakati mshakua mijitu mizimaKuna shida gani kama ukiamka na wazazi wako ?
Mbona zamani mababu waliishi kwenye boma na vijana wao wakiwa wameoa? Ndio hao hadi leo wamefanyika hadi na wewe umezaliwa.
Mi naona hauna life experiences za kutosha, una utoto mwingi
BYE, FELICIA.
Kwani Kuna watu wanajenga nyumba za ndoto zao kiwanja Cha ukweni Karne hiiBora huyu wa kwa wazazi wake,Ukweni!
Mkuu unaposema unakosa uhuru, ni uhuru gani unaoweza kuukosa nyumbani kwenu?? Isije ikawa mkeo ndio anasema anakosa uhuru, na wewe unaunga mkono hoja yake pasipo kujua uhuru anaoutaka yeye ni kukutawala wewe kwa kukupanda kichwani, na ambapo ameshindwa kwa kuwa upo around watu wako wa karibu watakaonotisi kuwa unaendeshwaKila siku ukiamka unamuona mzee wako na mama Yako hata uhuru hamna
Mtoto kwa mzazi hakuiUtoto unao wewe unaekaa na wazazi miaka yote ndio nyie mnavizia mkikosa hela ya msosi mnaingia ndani Kwa wazazi kuangalia msosi wakati mshakua mijitu mizima
Yaani uishi nyumba na wazazi pamoja na familia yakoNa ndio maisha yanapaswa kuwa hivyo. Hakuna haja ya kujenga jenga nyumba kila mtu ilhali mngeweza kujenga mjengo mmoja mkali na familia zote zikaishi hapo, kama alivyosema Covax kuwa waarabu ndio zao.
Kaa na wazazi wako ufurahie maisha mpaka mwisho, nyumba mnaiboresha tu na ndio inakuwa home sio a mere house.
Hamna mkuu Kuna uhuru Fulani hivi unaukosa tofauti na mkeo yaani hata kubadilisha mademu ubadilishi Kwa kuhofia wazee watakuonaje huu ni mfano tuMkuu unaposema unakosa uhuru, ni uhuru gani unaoweza kuukosa nyumbani kwenu?? Isije ikawa mkeo ndio anasema anakosa uhuru, na wewe unaunga mkono hoja yake pasipo kujua uhuru anaoutaka yeye ni kukutawala wewe kwa kukupanda kichwani, na ambapo ameshindwa kwa kuwa upo around watu wako wa karibu watakaonotisi kuwa unaendeshwa