Hivi mtu unawezaje kujenga nyumba yako kwenye ardhi ya wazazi na ukaishi na familia yako hii akili au matope

Hiko kitu hakiko sawa labda kama hiko kiwanja kiwe mbali kabisa na kwenu
 
I
Hamna mkuu Kuna uhuru Fulani hivi unaukosa tofauti na mkeo yaani hata kubadilisha mademu ubadilishi Kwa kuhofia wazee watakuonaje huu ni mfano tu
Huu mfanowako umeonyesha ulivyokua na akili za kitoto,kikawaida wazazi ndio inapaswa kumuandalia mtoto maisha.
Waliokulia vijijini watanielewa ukifikia umri wa balehe hukai nyumba moja na wazazi utakatiwa kipande chako cha ardhi ili ujenge,hayo mengine ni umaskini wa ardhi tu.
 
muhammad dewji pamoja ela alizo nazo lakini anaishi pamoja na wazazi wake
 
Kujenga wajenge wao alafu usumbuke wewe, somo la kumind your business watu weusi lilishawashinda!
 
ni ujinga kabisa
 
Mzee unajengaje ardhi waliyokupa wazazi na kuishi hapo ukiwa na umri mkubwa hiyo ni akili au tope
 
Pole sana, wakati wazee wetu wananunua ardhi kubwa kwa ajili ya watoto, baba yako alikuwa busy kubadilisha mademu. Ona sasa unakuja kuwaonea wivu waliopewa viwanja
 
Pole sana, wakati wazee wetu wananunua ardhi kubwa kwa ajili ya watoto, baba yako alikuwa busy kubadilisha mademu. Ona sasa unakuja kuwaonea wivu waliopewa viwanja
Utaishije na mzazi karibu yaani Kila unachofanya anajiona si Bora uishi nae nyumba moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…