Mr fantastic_
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 377
- 502
Sana mkuu na Kwa namuna nyingne nimegundua huyu anamtizamo mbaya (negative)Kuna shida gani kama ukiamka na wazazi wako ?
Mbona zamani mababu waliishi kwenye boma na vijana wao wakiwa wameoa? Ndio hao hadi leo wamefanyika hadi na wewe umezaliwa.
Mi naona hauna life experiences za kutosha, una utoto mwingi
BYE, FELICIA.
UMzee unajengaje ardhi waliyokupa wazazi na kuishi hapo ukiwa na umri mkubwa hiyo ni akili au
Usiangalie alipojenga babayako hapo alipohesabiwa hatua 17 ×17 hawezi kukugawia ardhi wakati hana nyingine zaidi ya hiyo tembea dogo uone familia zinamiliki hadi heka 100,mzazi kukupa heka 10 haoni hatari kuna ubaya gani ukijenga na kuanzisha familia hapo?I
Huu mfanowako umeonyesha ulivyokua na akili za kitoto,kikawaida wazazi ndio inapaswa kumuandalia mtoto maisha.
Waliokulia vijijini watanielewa ukifikia umri wa balehe hukai nyumba moja na wazazi utakatiwa kipande chako cha ardhi ili ujenge,hayo mengine ni umaskini wa ardhi tu.
Huwa nashangaa mtu anapata wapi ujasiri wa kujenga nyumba kwenye ardhi aliyopewa na wazazi wake Ili aishi na familia yake yaani Kila siku ukiamka unamuona mzee wako na mama Yako hata uhuru hamna aisee nashangaaga sana watu wa aina hii halafu unakuta ukifa familia yako inaporwa nyumba na ndugu Kwa kisingizio umejengea nyumbani watoto wako wanateseka
Tatizo ni kwamba wewe huwajui wazazi wako na hauna, hivyo huwezi kuelewaHuwa nashangaa mtu anapata wapi ujasiri wa kujenga nyumba kwenye ardhi aliyopewa na wazazi wake Ili aishi na familia yake yaani Kila siku ukiamka unamuona mzee wako na mama Yako hata uhuru hamna aisee nashangaaga sana watu wa aina hii halafu unakuta ukifa familia yako inaporwa nyumba na ndugu Kwa kisingizio umejengea nyumbani watoto wako wanateseka
Hii ni Moja ya hoja yako ya kwanin mtu hatakiwi kujenga kwa wazazi wake?Hamna mkuu Kuna uhuru Fulani hivi unaukosa tofauti na mkeo yaani hata kubadilisha mademu ubadilishi Kwa kuhofia wazee watakuonaje huu ni mfano tu
Na wanaishi fresh tuu...shida sie ngozi nyeusi....wee leo mbunge wetu abood yupo tuu pale ghorofani aliporithi toka kwa baba yake na maisha yanenda fresh tuu.Waarabu ndo zao hizo
Sio kweli Mimi mzee ana hela 5 ila sitaki kujenga na anasema tujenge siwezi kukaa Kila siku mzee ananionaU
Usiangalie alipojenga babayako hapo alipohesabiwa hatua 17 ×17 hawezi kukugawia ardhi wakati hana nyingine zaidi ya hiyo tembea dogo uone familia zinamiliki hadi heka 100,mzazi kukupa heka 10 haoni hatari kuna ubaya gani ukijenga na kuanzisha familia hapo?
Huku mjini tunaishi ki selfish ndio maana we unaona ajabu mtu kujenga kwenye ardhi ya wazaziwake.
Kuna waziri mmoja professor mstaafu karudi kwenye mji aliopewa na baba yake na anaendeleza shughuli zake hapo hana noma wala nini,sasa wewe umetoka familia ya kimaskini wa ardhi unashangaa mtu kujenga kwenye ardhi ya wazazi wake,wewe huwezi kujenga kwa wazaziwako sababu walininua ardhi kwa kuhesabiwa hatua wakaishia kujenga nyumba ya vyumba vitatu.
Sema hutaki akuone ukibadirisha pisi kali,hata hizo heka 5 anazomiliki baba yako (kama ni kweli lakini) akija kufariki utaziuza afu utaendelea kupanga ili uendelee kubadirisha madem.Sio kweli Mimi mzee ana hela 5 ila sitaki kujenga na anasema tujenge siwezi kukaa Kila siku mzee ananiona
Hela ya kununua anayo sasa!!!Bora ununue kiwanja ujenge
Hamna mkuu yaani kukaa jiranu na wazazi yaani uhuru hamnaSema hutaki akuone ukibadirisha pisi kali,hata hizo heka 5 anazomiliki baba yako (kama ni kweli lakini) akija kufariki utaziuza afu utaendelea kupanga ili uendelee kubadirisha madem.
Mkuu kwanza wazazi wako wana Ardhi?Isijekuwa unaongelea Ardhi ambayo haipoHuwa nashangaa mtu anapata wapi ujasiri wa kujenga nyumba kwenye ardhi aliyopewa na wazazi wake Ili aishi na familia yake yaani Kila siku ukiamka unamuona mzee wako na mama Yako hata uhuru hamna aisee nashangaaga sana watu wa aina hii halafu unakuta ukifa familia yako inaporwa nyumba na ndugu Kwa kisingizio umejengea nyumbani watoto wako wanateseka
Hakuna tatizo familia nyingi zinaishi kwenye ardhi za kurithi toka kizazi na kizazi na kadri miji inavyoendelea maeneo hayo ambayo ni mashamba hupimwa na mamlaka za miji wahusika kupewa hatimiliki.Huwa nashangaa mtu anapata wapi ujasiri wa kujenga nyumba kwenye ardhi aliyopewa na wazazi wake Ili aishi na familia yake yaani Kila siku ukiamka unamuona mzee wako na mama Yako hata uhuru hamna aisee nashangaaga sana watu wa aina hii halafu unakuta ukifa familia yako inaporwa nyumba na ndugu Kwa kisingizio umejengea nyumbani watoto wako wanateseka