Hivi Mungu alikosa njia nyingine ya kufikisha ujumbe tofauti na Vitabu?

Njia bora kama ipi??
Watu wengine mna mambo ya ajabu sana

Kuna njia gani nyingine ya maana kufikisha elimu isipokuwa maandishi??
Ahaa wewe akili yako imeishia kufikiroa njia ya maandishi tu ambayo nimeshakuonesha mapungufu yake mengi tu.
inamaana akili yako ilipoishia na ya mungu iliishia hapo?
Na yeye Mungu hana ubunifu wowote kukuzidi wewe?
 
Mungu alituma manabii mkawauwa mfano akina Paulo, akaamua kutumia vitabu kwa sababu hamuwezi kuvichana vitabu vyote kwa wakati mmoja
Okay so kumbe hana njia tofauti na manabii na vitabu?

Maana njia ya manabii alifeli, na hii ya vitabu amefeli.
Maana nina hakika akija Yesu atashangaa kukuta kuna madhehebu laki 1 wakati yeye aliacha injili moja.

inamaana hakujua maandishi yatafeli? Au hakuwa na njia bora zaidi? Au hawezi kila kitu?
 
Mans knowledge is limited.What we don't is beyond our knowledge.

Kuna baadhi ya mambo huwa tunapoteza muda na nguvu kuyahoji. Tambua hakuna mwanadamu anaefahamu uwezo au utashi wa Mungu Kwamba kwanini alifanya kile na kwanini hakufanya hiki. Vitabu vya dini hasa Biblia vimejaribu kumuelezea Mungu lakini ile ni "summary" tu ya machache kuhusu.Vitabu vya dini sio mwisho wa kila kitu kumuhusu Mungu. Mungu ni zaidi ya tunavyodhani na tulivyofundishwa. Km kikiandikwa kitabu kumuelezea Mungu basi h kitabu hicho kitakuwa hakina mwisho na hakuna mwanadamu atakaeweza kukimaliza kukisoma.
Umeelezea vizuri sana. Lakini ni wachache tu watakaokuelewa. Jambo gumu hasa litakalowafanya wasikuelewe ni swali la Je, tunajuaje kuwa ni kweli yupo? Ukizingatia wanaona jinsi gani kanuni za kisayansi zinavyojibu maswali, watu wanazaliwa, wanaishi, wanakufa..sawasawa na mifugo, wadudu, mimea n.k je, binadamu tuna u special upi wa ziada unaomhusisha BWANA Mungu? Yaani wa kuthibitika/ kuthibitishwa kwa asiye mwamini (mpagani/aatheist). Maana kuna jamii za wachina - wana miungu yao, waarabu - wanae, wazungu- nao, waafrika- ipo/ilikuwepo, waamerica- nao pia.... Sasa ukweli u wapi? Unathibitishwaje?
 
Hatuna uspesho wowote kuwazidi wanyama wengine, sema kutokana na upeo wa akili tu tunajiona kama sisi ndio special sana na huu ulimwengu uliumbwa kwaajili yetu.

Inshort ulimwengu hautujui na hata siku itakuja (tena kwa hakika) binadamu hatutakuwepo tena kwenye uso wa dunia.
Lakini ulimwengu utaendelea kuwepo.
Ulimwengu tumeukuta na tutauacha.

Kwanza hata hatujakaa sana duniani. tuna miaka chini ya laki 3.
Dinasours waliitawala dunia kwa miaka zaidi ya millioni 165.

Yani hiyo ni mara 550 yetu...lakini Walikufa wote na sasa wamebaki historia.

Sisi tuna uspesho gani?
 
Ahaa wewe akili yako imeishia kufikiroa njia ya maandishi tu ambayo nimeshakuonesha mapungufu yake mengi tu.
inamaana akili yako ilipoishia na ya mungu iliishia hapo?
Na yeye Mungu hana ubunifu wowote kukuzidi wewe?
Naomba toa mfano rahisi tu wa njia gani nyingine ukiacha maandishi
 
Amekupa freewill, ni wewe tu unachagua lipi jema kwako.

Walio wake wataenda kwake, na wale waovu watapita kushoto.
Imani yako itakuponya, jitihada zako ndio zitakufanya uujue ukweli. Uwezo wa kutafuta maarifa unao, ujuzi unao basi yafikie mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb

Mkuu kuna watu wana jitihada sana na wanasoma sana mpaka wanabobea kwenye usabato, upadri, uislam, ulokole nk. Nk.

Wote hawa wanasoma kwa nia njema kabisa ya kumjua Mungu na tena kwa juhudi sana lakini wanajikuta wanafikia conclusions tofauti tofauti kabisa kuhusu Mungu.

So kama binadamu wanajitoa kuelewa maandiko lakini wanafikia conclusions tofauti mpaka Wanaanza kuuana.
Hapo tatizo sio kwa binadamu bali ni mwandishi, hakufikisha ujumbe vizuri.
Alitumia njia mbovu kufikisha ujumbe wake.
 
Jf vichwa panzi wengi sana siku hzi
Wewe ndo utakuwa kichwa panzi...Mimi mifano naweza kuifikiria lakini hata nisipoweza haibadili hoja yangu.

Hoja yangu ni kuwa hii njia aliyotumia imefeli, alishindwa kutumia njia bora?
Au wewe hoja yako ni kuwa hakuna njia nyingine tofauti na Maandishi?

Kama ni hivyo basi kumbe Mungu sio muweza wa vyote, maana ameshindwa kupata njia bora kufikisha ujumbe.
 
Hatuna uspesho wowote kuwazidi wanyama wengine, sema kutokana na upeo wa akili tu tunajiona kama sisi ndio special sana na huu ulimwengu uliumbwa kwaajili yetu.

Inshort ulimwengu hautujui na hata siku itakuja (tena kwa hakika) binadamu hatutakuwepo tena kwenye uso wa dunia.
Lakini ulimwengu utaendelea kuwepo.
Ulimwengu tumeukuta na tutauacha.

Kwanza hata hatujakaa sana duniani. tuna miaka chini ya laki 3.
Dinasours waliitawala dunia kwa miaka zaidi ya millioni 165.

Yani hiyo ni mara 550 yetu...lakini Walikufa wote na sasa wamebaki historia.

Sisi tuna uspesho gani?

Uspesho wetu ni akili kuwazidi viumbe wengine.
 
Wewe ndo utakuwa kichwa panzi...Mimi mifano naweza kuifikiria lakini hata nisipoweza haibadili hoja yangu.

Hoja yangu ni kuwa hii njia aliyotumia imefeli, alishindwa kutumia njia bora?
Au wewe hoja yako ni kuwa hakuna njia nyingine tofauti na Maandishi?

Kama ni hivyo basi kumbe Mungu sio muweza wa vyote, maana ameshindwa kupata njia bora kufikisha ujumbe.

Njia bora unayoifikiria wewe ni ipi??--- ubora wa kitu unalinganishwa na kitu kingine la sivyo kitu kikiwa kimoja bila mbadala hicho kitabaki incomparable milele.
 
Uspesho wetu ni akili kuwazidi viumbe wengine.
Kila kiumbe ni spesho, Tembo uspesho wake nk ukubwa wake kuliko wanyama wengine, Chui uspesho wake ni spidi kuliko wanyama wengine wa ardhini, Miti uspesho wake ni uwezo wa kubadilisha hewa na mwanga kuwa chakula, Sisimizi uspesho wake ni nguvu anaweza kubeba mara 10 ya uzito wake, Popo uspesho wake ni kuzaa na kupaa kama ndege nk. Nk.
Kwahyo hakuna eti huyu ni spesho kuliko wote, Kila kiumbe ni unique ukumbuke.
 
Back
Top Bottom