February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,151
- 2,983
- Thread starter
-
- #21
Ahaa wewe akili yako imeishia kufikiroa njia ya maandishi tu ambayo nimeshakuonesha mapungufu yake mengi tu.Njia bora kama ipi??
Watu wengine mna mambo ya ajabu sana
Kuna njia gani nyingine ya maana kufikisha elimu isipokuwa maandishi??
Lakini hata hivo Mungu haeleweki kwa kutumia akili bali imani,hata mimi huwa najiuliza mengi tu
Okay, wa kweli yupoje? Yeye hajaacha maandiko yoyote duniani?Mungu wa kweli hayupo hivyo, huyo unayemwona ni yule wa uongo. Ukimjua Mungu wa Kweli ufafurahi nakwambia!
Okay so kumbe hana njia tofauti na manabii na vitabu?Mungu alituma manabii mkawauwa mfano akina Paulo, akaamua kutumia vitabu kwa sababu hamuwezi kuvichana vitabu vyote kwa wakati mmoja
Umeelezea vizuri sana. Lakini ni wachache tu watakaokuelewa. Jambo gumu hasa litakalowafanya wasikuelewe ni swali la Je, tunajuaje kuwa ni kweli yupo? Ukizingatia wanaona jinsi gani kanuni za kisayansi zinavyojibu maswali, watu wanazaliwa, wanaishi, wanakufa..sawasawa na mifugo, wadudu, mimea n.k je, binadamu tuna u special upi wa ziada unaomhusisha BWANA Mungu? Yaani wa kuthibitika/ kuthibitishwa kwa asiye mwamini (mpagani/aatheist). Maana kuna jamii za wachina - wana miungu yao, waarabu - wanae, wazungu- nao, waafrika- ipo/ilikuwepo, waamerica- nao pia.... Sasa ukweli u wapi? Unathibitishwaje?Mans knowledge is limited.What we don't is beyond our knowledge.
Kuna baadhi ya mambo huwa tunapoteza muda na nguvu kuyahoji. Tambua hakuna mwanadamu anaefahamu uwezo au utashi wa Mungu Kwamba kwanini alifanya kile na kwanini hakufanya hiki. Vitabu vya dini hasa Biblia vimejaribu kumuelezea Mungu lakini ile ni "summary" tu ya machache kuhusu.Vitabu vya dini sio mwisho wa kila kitu kumuhusu Mungu. Mungu ni zaidi ya tunavyodhani na tulivyofundishwa. Km kikiandikwa kitabu kumuelezea Mungu basi h kitabu hicho kitakuwa hakina mwisho na hakuna mwanadamu atakaeweza kukimaliza kukisoma.
Hatuna uspesho wowote kuwazidi wanyama wengine, sema kutokana na upeo wa akili tu tunajiona kama sisi ndio special sana na huu ulimwengu uliumbwa kwaajili yetu.Umeelezea vizuri sana. Lakini ni wachache tu watakaokuelewa. Jambo gumu hasa litakalowafanya wasikuelewe ni swali la Je, tunajuaje kuwa ni kweli yupo? Ukizingatia wanaona jinsi gani kanuni za kisayansi zinavyojibu maswali, watu wanazaliwa, wanaishi, wanakufa..sawasawa na mifugo, wadudu, mimea n.k je, binadamu tuna u special upi wa ziada unaomhusisha BWANA Mungu? Yaani wa kuthibitika/ kuthibitishwa kwa asiye mwamini (mpagani/aatheist). Maana kuna jamii za wachina - wana miungu yao, waarabu - wanae, wazungu- nao, waafrika- ipo/ilikuwepo, waamerica- nao pia.... Sasa ukweli u wapi? Unathibitishwaje?
Naomba toa mfano rahisi tu wa njia gani nyingine ukiacha maandishiAhaa wewe akili yako imeishia kufikiroa njia ya maandishi tu ambayo nimeshakuonesha mapungufu yake mengi tu.
inamaana akili yako ilipoishia na ya mungu iliishia hapo?
Na yeye Mungu hana ubunifu wowote kukuzidi wewe?
Hata kama siwezi kutoa mfano, ina maana na Mungu hawezi kufikiria kitu?Naomba toa mfano rahisi tu wa njia gani nyingine ukiacha maandishi
Jf vichwa panzi wengi sana siku hziHata kama siwezi kutoa mfano, ina maana na Mungu hawezi kufikiria kitu?
Amekupa freewill, ni wewe tu unachagua lipi jema kwako.
Walio wake wataenda kwake, na wale waovu watapita kushoto.
Imani yako itakuponya, jitihada zako ndio zitakufanya uujue ukweli. Uwezo wa kutafuta maarifa unao, ujuzi unao basi yafikie mkuu.
Wewe ndo utakuwa kichwa panzi...Mimi mifano naweza kuifikiria lakini hata nisipoweza haibadili hoja yangu.Jf vichwa panzi wengi sana siku hzi
And he dare liesNia yake ni kutuchanganya na kweli tumechanganyikiwa haswa
Yeyote tu itakayokuwa bora, maana hii aliyotumia imefeli kufikisha ujumbe.
Kama njia aliyotumia imefeli, basi yeye amefeli.
Na mungu hatakiwi kufeli.
Hatuna uspesho wowote kuwazidi wanyama wengine, sema kutokana na upeo wa akili tu tunajiona kama sisi ndio special sana na huu ulimwengu uliumbwa kwaajili yetu.
Inshort ulimwengu hautujui na hata siku itakuja (tena kwa hakika) binadamu hatutakuwepo tena kwenye uso wa dunia.
Lakini ulimwengu utaendelea kuwepo.
Ulimwengu tumeukuta na tutauacha.
Kwanza hata hatujakaa sana duniani. tuna miaka chini ya laki 3.
Dinasours waliitawala dunia kwa miaka zaidi ya millioni 165.
Yani hiyo ni mara 550 yetu...lakini Walikufa wote na sasa wamebaki historia.
Sisi tuna uspesho gani?
Wewe ndo utakuwa kichwa panzi...Mimi mifano naweza kuifikiria lakini hata nisipoweza haibadili hoja yangu.
Hoja yangu ni kuwa hii njia aliyotumia imefeli, alishindwa kutumia njia bora?
Au wewe hoja yako ni kuwa hakuna njia nyingine tofauti na Maandishi?
Kama ni hivyo basi kumbe Mungu sio muweza wa vyote, maana ameshindwa kupata njia bora kufikisha ujumbe.
ili nimsaidie Mungu?Taja njia unayoiona ni bora.
ili nimsaidie Mungu?
Kila kiumbe ni spesho, Tembo uspesho wake nk ukubwa wake kuliko wanyama wengine, Chui uspesho wake ni spidi kuliko wanyama wengine wa ardhini, Miti uspesho wake ni uwezo wa kubadilisha hewa na mwanga kuwa chakula, Sisimizi uspesho wake ni nguvu anaweza kubeba mara 10 ya uzito wake, Popo uspesho wake ni kuzaa na kupaa kama ndege nk. Nk.Uspesho wetu ni akili kuwazidi viumbe wengine.