SIPENDI SIASA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 791
- 1,199
Wapo wa type yangu na sio hao magumegume ya kuvaa skin tight na kutembea nusu uchi barabarani..Hapo achana na wanawake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo wa type yangu na sio hao magumegume ya kuvaa skin tight na kutembea nusu uchi barabarani..Hapo achana na wanawake
🤣🤣🤣 janja janja nyingi ngastuka
Unajua mke wa CR7 anamfanyiaga nini mumewe??Mwanamke hajaumbwa kutoa, kaumbwa kupokea. Akitoa roho inamuuma.
I did not make the rules, nature did.
Kazi ipo😅Ndio hivyo mwanawane tunapiga nyeto tuu maana hela ya kuoa hatuna.
Itabidi tuomba mama atusaidie sie vijana wake tunaingia dhambini pasipo kupenda.
Kila goli watakalofunga yanga na simba huko caf bachela mmoja apewe mil 5 akaoe aanze maisha. Itatusaidia sana kuacha nyeto
Sio kila mwanamke anaweza kuwa mke. Hapo umepata mjasiriamaliHebu niambieni ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo kwaajili ya matumizi ya ndani ya nyumba Huwa anaongea sana maneno mengi halafu muda mwingi anakua na hasira na kununa nuna hovyo ?
Okay 👍🏾Kama mkeo haimuhusu unasoma unapita kimya kimya wapo ambao imewagusa na wamekiri hapa.
Dogo tuna uzoefu wa kuzidi umri wako tukiwa na hao ndugu zetu. Kama mwanamke wa kuoa angalikuwa dada yako, hapo sawa. Ila kwa mtoto wa kike ambaye mmekutana ukubwani na hamjachanganya damu, utasubiri sana.Wapo wa type yangu na sio hao magumegume ya kuvaa skin tight na kutembea nusu uchi barabarani..
Mimi hata nisipooa sawa tu, ili mradi nina hela zangu za kutosha, nita adopt mtoto kama Ulaya..Dogo tuna uzoefu wa kuzidi umri wako tukiwa na hao ndugu zetu. Kama mwanamke wa kuoa angalikuwa dada yako, hapo sawa. Ila kwa mtoto wa kike ambaye mmekutana ukubwani na hamjachanganya damu, utasubiri sana.
Kijana kila kitu kina faida yake. Mke ana faida yake na pesa ina faida yake. Si kila kitu kinaweza kusoviwa na fedha. Mfano ni ile kesi ya Jojo ambapo alimwachia Bodaboda mtoto wake na tarehe 26 December mtoto huyo akazikwa.Mimi hata nisipooa sawa tu, ili mradi nina hela zangu za kutosha, nita adopt mtoto kama Ulaya..
Mrudishie pesa yake ndicho anachotaka.😂 Sijasikia vizuri unasemaje?
SawaPoa mkuu samahani kwa hilo. I appologize.
Zama zinabadilika mdogo wangu. Wewe endekeza mambo ya 1984 mwaka huu wa 2024, utakuja kusimulia hapa..Kijana kila kitu kina faida yake. Mke ana faida yake na pesa ina faida yake. Si kila kitu kinaweza kusoviwa na fedha. Mfano ni ile kesi ya Jojo ambapo alimwachia Bodaboda mtoto wake na tarehe 26 December mtoto huyo akazikwa.
Hata mapadre wakizeeka huwa wanatunzwa na masista, unalifahamu hilo. Jiulize kwanini kazi ya unesi ni ya kike ingawa siku hizi kwa kukosekana ajira kuna midume manesi. Jiulize pia kwanini kazi ya ualimu ni 'she' kwa vitabu vya zamani. Mwenyezi Mungu aliumba kila kitu na majukumu yake.
Sifa mojawapo kuu ya wanawake ni UBINAFSIHebu niambieni ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo kwaajili ya matumizi ya ndani ya nyumba Huwa anaongea sana maneno mengi halafu muda mwingi anakua na hasira na kununa nuna hovyo ?
Ku provide si nature yetu.
We ni kauaji😂😂Mhm hapana mie nataka uhuru wangu wakuweza kuchepuka.
Ata akinidaka namuuliza tuu unakosa nini hapa ndani ya nyumba? Kama uridhiki na huduma nenda katafute anayekufaa
Kupewa tuNature yenu ni nini?
Wewe na Sir John Elton ni marafiki? Au Elton JohnHebu niambieni ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo kwaajili ya matumizi ya ndani ya nyumba Huwa anaongea sana maneno mengi halafu muda mwingi anakua na hasira na kununa nuna hovyo ?
Sheikh wangu umepatwa na nini tena?Hebu niambieni ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo kwaajili ya matumizi ya ndani ya nyumba Huwa anaongea sana maneno mengi halafu muda mwingi anakua na hasira na kununa nuna hovyo ?