Hivi ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo tu ndani ya nyumba kwa matumizi anaongea sana na kununa nuna?

Ndio hivyo mwanawane tunapiga nyeto tuu maana hela ya kuoa hatuna.
Itabidi tuomba mama atusaidie sie vijana wake tunaingia dhambini pasipo kupenda.
Kila goli watakalofunga yanga na simba huko caf bachela mmoja apewe mil 5 akaoe aanze maisha. Itatusaidia sana kuacha nyeto
Kazi ipo😅
 
Wapo wa type yangu na sio hao magumegume ya kuvaa skin tight na kutembea nusu uchi barabarani..
Dogo tuna uzoefu wa kuzidi umri wako tukiwa na hao ndugu zetu. Kama mwanamke wa kuoa angalikuwa dada yako, hapo sawa. Ila kwa mtoto wa kike ambaye mmekutana ukubwani na hamjachanganya damu, utasubiri sana.
 
Mimi hata nisipooa sawa tu, ili mradi nina hela zangu za kutosha, nita adopt mtoto kama Ulaya..
 
Kijana kila kitu kina faida yake. Mke ana faida yake na pesa ina faida yake. Si kila kitu kinaweza kusoviwa na fedha. Mfano ni ile kesi ya Jojo ambapo alimwachia Bodaboda mtoto wake na tarehe 26 December mtoto huyo akazikwa.

Hata mapadre wakizeeka huwa wanatunzwa na masista, unalifahamu hilo. Jiulize kwanini kazi ya unesi ni ya kike ingawa siku hizi kwa kukosekana ajira kuna midume manesi. Jiulize pia kwanini kazi ya ualimu ni 'she' kwa vitabu vya zamani. Mwenyezi Mungu aliumba kila kitu na majukumu yake.
 
Zama zinabadilika mdogo wangu. Wewe endekeza mambo ya 1984 mwaka huu wa 2024, utakuja kusimulia hapa..
 
Umenijuza na mimi

Dah maan nami huku nawashiw moto saut juu hawa viumbe sio poa,

Wao wakitumia ela zao wanaona Atari kbs.
 
Hebu niambieni ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo kwaajili ya matumizi ya ndani ya nyumba Huwa anaongea sana maneno mengi halafu muda mwingi anakua na hasira na kununa nuna hovyo ?
Wewe na Sir John Elton ni marafiki? Au Elton John
 
Back
Top Bottom