Hivi ni kwanini watu wengi wanaona aibu kuongeza chakula kwenye sherehe?

Ulikuwa kwenye mtego hapo mkuu
 

Ukiona hivyo, ujue hakuchangia
 
😁😁😁 Anastasia21 njoo utuambie hapa
 
Aibu zingine zinaepukika kabla ya kwenda nakulaga kwanza njiani pale naenda kugusa tu na pia naweza nisile sipendi kupanga folen napenda shereh zile za chakula unaletewa kwa meza
Aibu yan kuongeza chakula ikiwa wao wenyewe wamesema tukaongeze ni aibuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hamna aibu hapo.
Ishu ni kuwa tu mtu unaridhika na ulichopewa unaweza jikuta umepewa kidogo ukaridhika na ukashiba zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…