Hawa wapo wengi sana, wanaudhi sana.Then mtu anazaa watoto wengi anaanza kuomba msaada asaidiwe kusomesha akikataliwa anaona kama kanyimwa haki yake ya msingi
Sio mbahili tu una roho mbaya sanaHawa wapo wengi sana, wanaudhi sana.
Kuzaa wanazaa wao, mzigo wanawawekea wengine ambao na wao wana mizigo yao tayari.
Ukikataa kwa sababu na wewe una mipango yako, wanakuona mbahili.
Ukiangalia kwa jicho pevu ata wewe baba yako angewaza hivi usingezaliwa
Wapi nimesema kapata hasara?Kwani asingezaliwa kuna hasara yeyote angepata?
Quran inasemaje kuhusu hili?Wapi nimesema kapata hasara?
🤣🤣 hayaNdio ukweli mimi nazaa watoto ili waje kunisaidia pale nguvu zangu zitakapoisha nikijaliwa kufika wakati huo
Vp kama huo mradi ukifeli?Mimi watoto wangu nimewazaa kwasababu huko mbeleni waje kunisaidia... Kifupi nikama nimeweka kitega uchumi isinge kuwa hivyo wala nisingesumbuka na hizo adha na gharama kubwa za kuwalea na kusomesha.
Kwani kila unachopanga wewe kinatimia?Vp kama huo mladi ukifeli?
Kawaida sana miradi yangu mingi nilishaangukia pua hautokuwa wa kwanza.Vp kama huo mladi ukifeli?
Haya kila la kheriKwani kila unachopanga wewe kinatimia?
Haya kila la kheriKawaida sana miradi yangu mingi nilishaangukia pua hautokuwa wa kwanza.
Actually kuzaa watoto bila mpango na kutegemea watu wengine wakusaidie kwa lazima ndiyo roho mbaya hapa.Sio mbahili tu una roho mbaya sana
Dunia hii tufanye kila kitu kwa kiasi
Karibu tenaHaya kila la kheri
ExactlyActually kuzaa watoto bila mpango na kutegemea watu wengine wakusaidie kwa lazima ndiyo roho mbaya hapa.
😊Karibu tena
Kwa nini?Mi namuonea huruma mzee dingi kwa kweli..
Mungu amsaidie tuu kwa kweli
OkayIlikuwa zama zile za mawe ila kwasasa ni hapana