Hivi ni sawa kuzaa watoto kwa matarajio ya watakuja kukusaidia baadaye?

Usijaribu tena kushauri kuhusu uzazi wa huyo Dada, Mimi binafsi niliacha hiyo tabia 2018
 
Ni sawa tu si kaamua watoto wake wamsaidie. Watoto wake maamuzi yake BTW hao watoto wakikua wataamua wamsaidie au la.
 
Ni kweli mkuu, huu ujinga upo sana kwenye familia zetu.
Utakuta mtoto amekataa shule, amekataa hata kwenda VETA, kila siku kijiweni anapiga mizinga, analala kwao, anakula kwao hana cha kuongeza kwenye familia zaidi anajaza choo nyumbani.
Upumbavu sana
 
Dada yangu nilimshauri jambo hilo wakati namaliza chuo, alikua anazaa ili Mimi nije niwasomeshe,
Uzazi kwangu imekua changamoto sasa, we muache tuu
Pole😢
Mimi sina changamoto ya uzazi Alhamdulillah
 
Kila Sheria inatokana na utamaduni wa jamii husika.
Je utamaduni wa kiafrika upoje?

Ni kweli alipanga kuzaa ila hakupanga utokee wewe.

Hii nadharia mbaya tumeitoa kwenye jamii za magharibi ambazo ni degenerate na za ovyo.

Kama alivyowajibika ndivyo tunavyowajibika .

Kama tunavyopinga elimu pekee sio urithi nyenzo, njia, mbinu na Mali.

Ndio hivyo hivyo inatakiwa kwa mzazi.

Sio ihali, iwe lazima kama ilivyo fanya china.

Kama hutaki kuzaliwa nae, ungejifia zako ukiwa tumboni au siku Moja tu.

Hatuwezi kujenga maisha ya baadae, kwa kuharibu msingi uliotusimamia na kutuongoza
 
Haya sawa asante kwa maoni karibu tena 😊
 
Haya sawa asante kwa maoni karibu tena 😊
Ndio maana tunajiuliza kwa nini hatuwezi kujenga au kutengeneza generation wealth, huku jamii za Asia zikitupiga gap?

Ni hizi mindset zilizotokana na kukopi western lifestyle.

Wenzenu kule Wana nyumba za wazee
Wanakuwa taken care na their evil government.

Ninyi mkiishi miaka 80, apart from your bloodline, nani atakaye jali kizee Cha watu?
Serikari hii?
Jamii?
Warfare ya nchi hii?

Itungwe Sheria kulingana na mazingira yetu, tamaduni zetu na chumi pia za kwetu.
 
Shukran sana mkuu🙏🙏
 
She
Kila mzazi ana ndoto za kujitegemea pale atakapozeeka, yani aweze kujimudu chakula, malazi na matibabu. Lakini sio kila atafutaye hupata kuna wakati kupata ni majaaliwa....sasa hapo ndo wazazi huweka akiba kwa watoto ili kama mzazi atakosa uzeeni basi kama mtoto atapata ni backup ya mzazi ya kuishi....
kingine ni wakati wewe ni mtoto kutokana na majukumu yako kama kukua na kusoma, wakati ambao huwezi kujitengenezea kipato wazazi wana wajibu wa kukulisha, kukuvisha na kukusomesha na kukupa mahitaji memgine muhimu, lakini pia wazazi wanapozeeka wanakosa nguvu na akili ya kutafuta hela na kutimiza majukumu yao hivo tegemeo pekee ni wewe mtoto wao.
Hivyo ni wajibu wa lazima kuwalea na kuwatunza wazazi wetu.
 
Mkuu wazazi wengi hapa Tz wanazaa watoto ili wawe UTT yani anazaa kwa lengo la kuwekeza ili aje asaidiwe akiwa mzee ale mafao yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…