Hivi Nyerere aliwahi kugombana na Kanisa Katoliki au Protestanti?


Pressure ilikuwepo ya kushindwa vibaya kwenye uchumi.
Siasa za Ujamaa na Kujitegemea zilikuwa zimeshafeli, na huku mabeberu yamekaza hayataki kutoa mikopo akaamua isiwe tabu akang'atuka Urais lakini Uenyekiti wa Chama (ambacho ndio chenye say kwa Serikali) akabaki kuwa Mwenyekiti na hata baada kumaliza muda wake wa Uenyekiti 1987, hakung'atuka akagombea tena (mgombea pekee).
Hata Lile jaribio la Mapinduzi inasemekana sababu ni hiyo hiyo ya kufeli kwenye uchumi nae hataki kugeuka jiwe.
In short nchi ilikuwa imeshamshinda ndio pressure yenyewe hiyo.
 
Kosa lake kubwa ni kuingia kichwa kichwa kutumia rasilimaki za nchi kusaidia ukombozi wa nchi za kusini mwa Afrika na vita vya uganda. Pale aliferi sana.
Amefeli vipi wakati hizo nchi zilipata uhuru wake? Sijui TAI DUME kama kichwani kuna akili au kamasi
 
Inavyojulikana wewe ni mtafiti wa kasoro za Mwalimu. Hii imekushinda vipi?
 
Rasilimali za kujenga hizo shule hazikutokana na michango ya kanisani, zilitokana na rasilimali za Nchi

au unadhani walichukua kodi Vatican kuja kujenga huku ?
Unasahau au unajisahaulisha serikari ilitaifisha shule ngapi za mashirika ya dini za kikristo.
 
Mbumbumbu mzungu wa reli
 
Realy stupido.
Najua mnakerwa lakini huo ndio ukweli ,alianza na wale wapigania uhuru kina Dossa Aziz,Abdulwaheed Sykes,Sheikh Hassan bin Amir,Bibi Titi Mohammed na wengine hawa wengine alifunga,wengine alikata mawasiliano nao wengine aliwasingizia kuwa sio raia wa Tanganyika.
Alibaki na wachache wale ambao kazi ni kuitikia tu "ndiyo mzee" kama Rashid Kawawa.
 
Crap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…